Semikonda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ nusukipitishi
Mstari 1:
'''Semikonda''' (pia: '''nusukipitishi''') ni aina ya kipitisha [[kipitishi|kipitishi umeme]] chenye upitishaji ulio kati ya [[kipitishakipitishi halisi]] na [[kikinza]].
Katika [[jotoridi]] la chini kabisa (Kelvin 0) semikonda huwa kama kikinza, lakini kadiri jotoridi linavyoongezeka, semikonda huanza kupitisha umeme kwa kua [[elektroni]] hupata [[nishati]] ambayo huzifanya zipande hadi kwenye kiwango cha juu cha nishati cha upitishaji.