Kolesteroli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d svg
Mstari 1:
[[Picha:Cholesterol.pngsvg|alt=kolestro|thumb|297x297px|Muundo wa [[molekuli]] ya kolesteroli]]
'''Kolesteroli''' ni [[molekuli]] inayopatikana katika [[seli]] za [[wanyama]] na majimaji ya [[mwili]]. Kolesteroli ni dutu lainilaini ambayo hupatikana hasa katika mafuta ya wanyama na haipatikani kwenye vyanzo vya [[mimea]]. Ni aina maalum ya [[mafuta]] yanayoitwa [[steroidi]] ambayo ni kama vile molekuli. Steroidi ni mafuta ambayo yana muundo maalum wa [[kemikali]]. Mfumo huu unafanywa kwa [[pete]] [[nne]] za [[atomi]] za [[kaboni]].