Tofauti kati ya marekesbisho "Antara"

12 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Akarabu_Nge_Scorpius.png|400px|thumb|Antara (Antares) katika kundinyota yake ya Akarabu (pia: Nge) – Scorpius jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji wa Afrika ya Mashariki]]
[[Picha: Nyota jitu kuu na jitu.png|400px|thumb|Ulinganifu wa ukubwa baina ya Antares (Antara), Simaki (Arcturus9 na Jua]]
'''Antara''' ([[ing.]] na [[lat.]] '''Antares''' pia '''<big>α</big> Alpha&nbsp;Scorpii''', kifupi '''Alpha Sco''', '''α&nbsp;Sco''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota ya [[AkarabuNge (kundinyota)|AkarabuNge (pia: NgeAkarabu)]] (''[[:en:Scorpius (constellation)|Scorpius]]''). Ni pia nyota angavu ya 15 kwenye anga ya usiku. [[Mwangaza unaoonekana]] unacheza kati ya mag 0.75 na 0.95.
 
==Jina==
Antara ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. <ref>ling. Knappert 1993</ref>. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosemawaliosema hapa<big> kwaعنترة </big> ''antarah'', ingawa leo wanatumia kawaidazaidi <big>قلب العقرب</big> ''qalb al-aqrab'' (moyo wa akarabu - nge) lakini walitumia pia jina la <big> عنترة </big> ''antarah''. Hii „Antara“ ilikuwa namna ya kutumiakutamka jina la Ἄντάρης ''an-ta-res'' walilokuta kwa [[Klaudio Ptolemaio]] katika kitabu cha [[Almagesti]]<ref>Toomer, Ptolemy’s Almagest, p. 372 </ref>. Lakini naWaarabu kubadilishawalichukua maana yake kwa kumtaja Antara ibn Shaddad (ar. عنترة بن شداد ) aliyejulikana kwao kama mshairi na shujaa wa Uarabuni wa Kale kabla ya Uislamu. Ἄντάρης - Antares iliyotumiwa na Ptolemaio inamaanisha "sawa na Ares", ilhali "Ares" ni jina la Kigiriki kwa mungu wa vita (kama Kiroma [[Mars]]) na pia jina la [[sayari]] ya nne katika [[mfumo wa Jua]] yaani [[Mirihi]]. Sawa na Mirihi pia Antara inaonekana kuwa na rangi nyekundu kwa macho matupu; mwangaza unafanana pia hivyo si vigumu kuchanganya nyota na sayari hii..
 
Kwa matumizi ya kimataifa Umoja wa Kimataifa wa Astronomia ulifuata mapokeo ya Kigiriki na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Antares" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (Ukia), iliangaliwa Novemba 2017</ref>.