Tofauti kati ya marekesbisho "Antara"

2 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
 
==Tabia==
Antara - Antares ni [[nyota geugeubadilifu]] na [[mwangaza unaoonekana]] wake unabadilika kati ya Vmag +0.6 na +1.6. [[Mwangaza halisi]] ni -5.3. Hivyo no nyota angavu ya 15 kwenye anga ya usiku.
 
Antara iko kwa umbali na Dunia wa [[miaka ya nuru]] 550 – 600. Masi yake ni takriban [[M☉]] 15 na nusukipenyo chake [[R☉]] 680 (vizio vya kulinganisha na Jua letu) . <ref> Schröder, K.-P.; Cuntz, M. (April 2007) </ref><ref>Ohnaka, K; Hofmann, K.-H; Schertl, D; Weigelt, G; Baffa, C; Chelli, A; Petrov, R; Robbe-Dubois, S (2013</ref>).