Grace Matata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
|nchi = Tanzania
}}
'''Maandishi ya kooze''''''Grace Matata''' ni [[mwanamuziki]] wa kike wa [[Tanzania]] anayeimba [[muziki]] wa bongo fleva.
Mwanadada huyu ambae pia anacharaza guitar, ana uwezo mkubwa sana wa kupangilia nyimbo zake (composer) kuanzia utunzi, melody atakayoimbia na hata melody ya bit.<ref>http://www.nafasiartspace.org/portfolio/grace-matata/</ref>. Alianza safari ya muziki mnamo mwaka 2010 aliposajiliwa katika kampuni ya Music Lab (M-lab)<ref>http://www.nafasiartspace.org/portfolio/grace-matata/</ref>