Elimuanga : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 13:
Kwa [[karne]] nyingi wataalamu katika sehemu mbalimbali za [[dunia]] walihisi ya kwamba nyota hizo zilikuwa [[mungu|miungu]] iliyoonekana kwa mbali sana. Katika [[vitabu]] vya [[dini]] vya kale kuna majadiliano juu ya tabia zao; wakati [[visasili|mitholojia]] ya [[Taifa|mataifa]] mengi iliona nyota kuwa miungu, [[Biblia]] ilifundisha ni [[taa]] zilizowekwa angani na [[Mungu]] pekee aliye [[uumbaji|mwumbaji]] wa ulimwengu.
Wataalamu wa kale katika nchi kama [[Uhindi]] au [[Ugiriki ya Kale]] walianza kutambua mwendo wa sayari na kuunda [[nadharia]] yuu ya uhusiano wa dunia, [[jua]] na sayari nyingine. Ndiyo chanzo cha [[imani]] ya kwamba nyota zinaweza kuwa na tabia fulani na
===Kupanuka kwa elimu tangu kupatikana kwa darubini===
|