Unururifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Picha:Betadecay.jpg|thumb|Mbunguo nururifu wa vyembe vya β.]]
 
'''Unururifu''' (kwa [[Kiingereza]] ''radioactivity''; pia: '''mbunguo nururifunururishi''' kutoka Kiingereza ''radioactive decay'') ni [[tabia]] ya [[elementi]] kadhaa ambazo [[kiini cha atomi]] yake si thabiti, bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa [[mnururisho]]. Wakati wa badiliko atomi inatoa [[vyembe nyuklia]]. Mifano ya elementi ambazo si thabiti ni [[urani]] na [[plutoni]].
 
Kuna pia hali za elementi kadhaa ambazo kwa kawaida ni thabiti lakini baada ya kupokea [[nyutroni]] ya nyongeza zinakuwa nururifu. Kwa mfano [[kaboni]] ya kawaida inayoitwa <sup>12</sup>C ni thabiti. Lakini kuna pia kiwango kidogo cha <sup>14</sup>C ambayo si thabiti, ni nururifu; hali hii huitwa [[isotopi]] cha kaboni. Kaboni ya <sup>14</sup>C inatengenezwa mfululizo katika tabaka za juu ya [[angahewa]] ya [[dunia]] ambako atomu za [[nitrojeni]] zinagongwa na [[Mwali|miale]] ya [[jua]] na kupotewa na [[nyutroni]]; hizi nyutroni zinaweza kugongana tena na atomi ya nitrojeni na kujiunganisha nayo na hivyo kuunda atomi ya <sup>14</sup>C.