Unururifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
'''Unururifu''' (kwa [[Kiingereza]] ''radioactivity''; pia: '''mbunguo nururishi''' kutoka Kiingereza ''radioactive decay'') ni [[tabia]] ya [[elementi]] kadhaa ambazo [[kiini cha atomi]] yake si thabiti, bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa [[mnururisho]]. Wakati wa badiliko atomi inatoa [[vyembe nyuklia]]. Mifano ya elementi ambazo si thabiti ni [[urani]] na [[plutoni]].
 
Kwa jumla elementi zote ambazo zina masi kubwa kuliko [[Risasi (metali)|risasi (plumbi)]] ni nururishi. Hizi ni zote katika jedwali la elementi kuanzia namba 83 [[Bismuti]].
Kuna pia hali za elementi kadhaa ambazo kwa kawaida ni thabiti lakini baada ya kupokea [[nyutroni]] ya nyongeza zinakuwa nururifu. Kwa mfano [[kaboni]] ya kawaida inayoitwa <sup>12</sup>C ni thabiti. Lakini kuna pia kiwango kidogo cha <sup>14</sup>C ambayo si thabiti, ni nururifu; hali hii huitwa [[isotopi]] cha kaboni. Kaboni ya <sup>14</sup>C inatengenezwa mfululizo katika tabaka za juu ya [[angahewa]] ya [[dunia]] ambako atomu za [[nitrojeni]] zinagongwa na [[Mwali|miale]] ya [[jua]] na kupotewa na [[nyutroni]]; hizi nyutroni zinaweza kugongana tena na atomi ya nitrojeni na kujiunganisha nayo na hivyo kuunda atomi ya <sup>14</sup>C.
 
Kuna pia hali za elementi kadhaa ambazo kwa kawaida ni thabiti lakini baada ya kupokea [[nyutroni]] ya nyongeza zinakuwa nururifunururishi. Kwa mfano [[kaboni]] ya kawaida inayoitwa <sup>12</sup>C ni thabiti. Lakini kuna pia kiwango kidogo cha <sup>14</sup>C ambayo si thabiti, ni nururifunururishi; hali hii huitwa [[isotopi]] cha kaboni. Kaboni ya <sup>14</sup>C inatengenezwa mfululizo katika tabaka za juu ya [[angahewa]] ya [[dunia]] ambako atomu za [[nitrojeni]] zinagongwa na [[Mwali|miale]] ya [[jua]] na kupotewa na [[nyutroni]]; hizi nyutroni zinaweza kugongana tena na atomi ya nitrojeni na kujiunganisha nayo na hivyo kuunda atomi ya <sup>14</sup>C.
Tabia hii ya unururifu ilitambuliwa mara ya kwanza na [[Antoine Henri Becquerel]] mwaka [[1896]], halafu ni [[Marie Curie]] na [[Pierre Curie]] waliotunga neno "radioactivity" (=unururifu) kwa tabia hii. Wote watatu walipokea [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] kwa kazi hii mwaka [[1903]].
 
==Aina za mnururisho nyuklia==
Wakati wa mbunguo nyuklia mnururisho unatokea hasa kwa namna [[tatu]] zinazotajwa kwa [[herufi za Kigiriki]] [[alfa]], [[beta]] na [[gamma]] kuwa [[mnururisho α]], [[mnururisho β]] na [[mnururisho γ]]. Kati ya hizi kila moja inaweza kuwa [[hatari]] kwa [[binadamu]] na [[viumbehai]] kutegemeana na kiwango chake, lakini hatuna [[mlango wa fahamu]] unaoweza kuitambua.
 
==Hatari kwa viumbehai==
Mata nururishi inatoa mnururisho ya kuioniza ''(ionizing radiation)''. Mnururisho huu unaweza kuvunja [[kampaundi]] za kikemia na [[molekuli]]. Kama hii inatokea ndani ya [[kiumbehai]] kuna hatari za kiafya pamoja na hatari ya kutokea kwa [[kansa]].
 
Kiwango fulani cha mnururisho hutokea kiasili katika mazingira yetu na miili yetu imekizoea tangu vizazi. Hali ni tofauti kama kiasi cha mnururisho kinaongezeka kwa mfano kutokana na kuingia mara nyingi katika [[eksirei|mashine ya eksirei]], katika mazingira ya [[urani|migodi ya urani]], penye ajali kwenye [[tanuri nyuklia]] ambako mata nururishi inaachishwa hewani au penye milipuko ya [[bomu ya nyuklia]]. Penye viwango vya juu vya mnururisho wa kuioniza kuongezeka kwa kansa kumetazamiwa.
 
==Marejeo==