Rubani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Transaero 777 landing at Sharm-el-Sheikh Pereslavtsev.jpg|250px|thumb|Marubani wa ndege ya Boeing 777 wakati wa kutua pale [[Sharm-el-Sheikh]], [[Misri]].]]
'''Rubani''' (kutoka [[Kiarabu]]ː ربان ''ruban''; kwa [[Kiingereza]]ː ''pilot'') ni [[mtu]] anayeendesha [[eropleni]] au chombo kingine cha [[usafiri]] hasa chombo cha usafiri kitumiacho njia ya [[anga]].
 
[[Neno]] hili hutumiwa siku hizi kumtaja hasa mwanahewa lakini kwa [[asili]] lilimaanisha mtu anayeongoza [[chombo cha majini]].
 
[[Kazi]] hii inahitaji [[elimu]] na maarifa maalumu, kwa hiyo kuna [[sheria]] na masharti mbalimbali katika nchi zote za [[dunia|duniani]] kwa watu wanaotaka kuingia katika kazi hii.
{{mbegu-mtu}}
[[Jamii:Usafiri wa hewani]]