Sint Maarten : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Saint martin map.PNG|thumb|280px|Ramani inayoonyesha pande mbili za kisiwa: ule wa Kifaransa ''Saint-Martin'' (kaskazini) na ule wa Kiholanzi ''Sint Maarten'' (kusini).]]
'''Sint Maarten''' (yaani '''Mtakatifu Martino''') ni [[nchi ya visiwani]] katika [[bahari ya Karibi]] ([[Amerika ya Kati]]). Iko kwenye sehemu ya [[kusini]] ya [[kisiwa]] cha [[Saint Martin]] kilichogawiwa baina ya [[Ufaransa]] na [[Uholanzi]]. Sint Maarten ilikuwa [[koloni]] yala [[Uholanzi]]; sasa ni "nchi ya kujitawala" ndani ya muundo wa "Ufalme wa Nchi za Chini" pamoja na Uholanzi yenyewe na nchi nyingine ziizokuwazilizokuwa kolonimakoloni zaya Uholanzi.
 
Katika eneo la [[kilometa mraba]] 34 wanaishi watu 37,500.
Mstari 44:
 
[[Jamii:Nchi za visiwa]]
[[Jamii:Visiwa]]
[[Jamii:Karibi]]
[[Jamii:Uholanzi]]