Uganda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 103:
[[Picha:Ug-map.png|thumb|left|Ramani ya Uganda]]
== Jiografia ==
''Tazama piaː [[Orodha ya milima ya Uganda]]; [[Orodha ya maziwa ya Uganda]]; [[Orodha ya visiwa vya Uganda]]; [[Wilaya za Uganda]]''
 
Uso wa nchi umepata [[tabia]] yake kutokana na [[Maziwa makubwa ya Afrika|maziwa makubwa]], [[mito]], [[milima]] ya juu na [[tambarare]].
 
Upande wa kusini nchi imepakana na Ziwa Nyanza Viktoria ambalo ndilikwa eneo ndilo ziwa kubwa kuliko yote ya [[Afrika]]. Maziwa makubwa mengine upande wa magharibi ni [[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]] na [[Ziwa Edward]].
 
Mto mkubwa ni [[Nile]] inayopita nchi yote kati ya Ziwa Viktoria hadi Ziwa Albert na kuendelea hadi mpaka wa Sudani ikiitwa mwanzoni Nile ya Viktoria na baadaye Nile ya Albert.