Tofauti kati ya marekesbisho "Orodha ya Messier"

4 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama [[nebula]] (wingu dogo linalong'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.
 
Orodha hii ilikuwa orodha ya kwanza iliyokubaliwa na wanaastronomia wengi kimataifa. Nyota na nebula zake zilijulikana kufuatana na namba jinsi zilivyoandikwa katika orodha ya Messier yaani M1, M2 na kadhalika. M1 ni [[nebulaNebula ya kaaKaa]], M45 ni [[fungunyota]] ya [[kilimiaKilimia]] na [[galaksi]] ya [[Andromeda]] ni M31.
 
Kuna namba 110 katika orodha hii.