Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

12 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
Kuna galaksi nyingi sana [[ulimwengu]]ni. Kwa [[wastani]] kila galaksi imekadiriwa kuwa na nyota kama [[bilioni]] 100 lakini kuna galaksi kubwa na ndogo.
 
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua|mfumo wetu wa jua]], imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au "njia ya [[maziwa]]"<ref>Maziwa (mfano maziwa ya ng'ombe) kwa [[Kigiriki]] huitwa "galaks" na hapo aili ya jina "galaksi".</ref>. Umbo lake linafanana na kisahani kikiwa na [[kipenyo]] cha [[mwaka wa nurumwakanuru|miaka ya nurumiakanuru]] 100,000 na kikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nurumiakanuru milioni 2.5.
 
[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya galaksi zinazoweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana ni mabilioni. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.