Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] '''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] ya [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kungaa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miaka ya nurumiakanuru]] 4.2. Inaonekana angani karibu na kundinyota ya Salibu (Crux).
 
== Mfumo wa nyota tatu==