Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

no edit summary
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] pamoja na Dunia ni sehemu yake.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miaka ya nurumiakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu zaidi angani inaitwa [[galaksi ya Andromeda|Andromeda]] ikiwa na [[umbali]] wa miaka ya nuru [[milioni]] 2.5.