Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

no edit summary
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[mfumo wa jua|mfumo wa Jua letu]] pamoja na Dunia ni sehemu yake.
 
==Umbo na umbali==
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Inafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hicho ni [[miakanuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Idadi kubwa zaidi ya nyota za Njia Nyeupe hatuwezi kuona wala kubainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu.
 
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi zaidi umepunguzwa na kuwepoidadi kwa [[mavumbikubwa ya kinyota]]nyota zilizopo kati ya mahali petu na [[kitovu]] cha galaksi.
 
== Muundo ==
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani.
 
Ikitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye [[mikono]] mbalimbali. Picha hii tumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu nailhali parafujo inaonekana.
 
== Marejeo ==