Hidrokaboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Methane-3D-balls.png|thumb|300px|Molekuli ya methani ambayo ni hidrokabnihidrokaboni aina ya alkani.]]
'''Hidrokaboni''' ni aina mbalimbali za [[kampaundi ogania]] za [[Kemia|kikemia]] zinazojengwa kwa [[atomi]] za [[hidrojeni]] na [[kaboni]] pekee.
 
KiasiliKwa zinapatika[[asili]] zinapatikana hasa katika [[mafuta]] ya [[petroliamu]] iliyotokea kutokanailiyotokana na mchakato wa kuoza kwa [[mimea]] na [[mata]] ogania yenye kaboni na hidrojeni nyingi. Hidrokaboni haziwezi kuingia katika mmenyuko wa kikemia na [[maji]].
 
Hidrokaboni ni chanzo muhimu cha [[nishati]] kwa [[binadamu]] [[duniani]]; [[petroli]] na [[diseli]] ni mchanganyiko wa aina za hidrokaboni.
 
==Vikundi vya hidrokaboni==
Mstari 11:
===Alkani===
{{main|Alkani}}
Alkani ni hidrokaboni za kimsingimsingi. [[Fomula]] yaoyake ni C<sub>n</sub>H<sub>2n+2</sub>.
 
{| class="wikitable"
Mstari 50:
 
===Alkeni===
[[Alkeni]] hufanana na [[alkani]]. Lakinilakini zina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni. Fomula yaoyake ni C<sub>n</sub>H<sub>2n</sub>.
{| class="wikitable"
|-
Mstari 86:
 
===Alkini===
{{main|AlkyneAlkini}}
[[Alkini]] zina muungo wa mara tatu kati ya kaboni na kaboni. Fomula yake ni C<sub>n</sub>H<sub>2n-2</sub>
{{translate}}
[[Alkyne]]s have a carbon to carbon triple bond. C<sub>n</sub>H<sub>2n-2</sub> is their general formula.
{| class="wikitable"
|-
! Jina la alkini
! Alkyne Name
! FormulaFomula
|-
| EthyneEthini
| C<sub>2</sub>H<sub>2</sub>
|-
| PropynePropini
| C<sub>3</sub>H<sub>4</sub>
|-
| ButyneButini
| C<sub>4</sub>H<sub>6</sub>
|-
| PentynePentini
| C<sub>5</sub>H<sub>8</sub>
|-
| HexyneHexini
| C<sub>6</sub>H<sub>10</sub>
|-
| HeptyneHeptini
| C<sub>7</sub>H<sub>12</sub>
|-
| OctyneOctini
| C<sub>8</sub>H<sub>14</sub>
|-
| NonyneNonini
| C<sub>9</sub>H<sub>16</sub>
|-
| DecyneDesini
| C<sub>10</sub>H<sub>18</sub>
|}
Line 124 ⟶ 123:
===Sikloalkani===
{{main|Sikloalkani}}
[[Sikloalkani]] ni [[isomeri]] za [[alkeni]]. Fomula yaoyake ni pia (C<sub>n</sub>H<sub>2n</sub>) lakini hazina muungo jozi kati ya kaboni na kaboni.
 
{| class="wikitable"
Line 162 ⟶ 161:
 
== Hidrokaboni aromatiki ==
Hidrokaboni aromatiki ni [[molekuli]] ogania yenye [[umbo]] la [[mviringo]] [[tambarare]].
Fomula yaoyake ni C<sub>n</sub>H<sub>2n-6</sub> na "n" ni sawa na kubwa kuliko 6.
{{mbegu-kemia}}
[[Category:Hidrokaboni| ]]