Frederik Willem de Klerk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{karibu}}~~~~'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Frederik Willem de Klerk''' (alizaliwa [[18 Machi]] [[1936]] mjini [[Johannesburg]]) ni mwanasiasa wa nchini [[Afrika Kusini]] aliyekuwa rais wa nchi.
{{karibu}}'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:28, 15 Machi 2019 (UTC)
 
Alizaliwa katika familia ya [[Makaburu]] ma lugha yake ya mama ni [[Kiafrikaans]]. Alisoma sheria akawa wakili. Mwaka 1972 alichaguliwa mbunge kwa chama cha National Party. 1976 aliteuliwa kuwa waziri wa ustawi wa jamii akaendelea kuongoza wizara mbalimbali hadi 1989. Baada ya rais PW Botha kujiuzuli katika uongozi wa chama cha National de Klerk alimfuata kama mwenyekiti wa chama na kuanzia 20 Sepzemba ya mwaka ule pia kama rais wa nchi.
 
Alikuwa [[rais wa Afrika Kusini]] wa mwisho chini ya mfumo wa [[apartheid]] kuanzia 1989 hadi 1994. Alitambua ya kwamba mfumo wa ubaguzi wa rangi ulifikia mwisho wake alianzisha majadiliano na wanasiasa wa [[ANC]] akaamuru kumwachisha [[Nelson Mandela]] kutoka gerezani akaandaa pamoja naye mabadiliko ya mfumo wa kisiasa yaliyoleta uchaguzi huru wa kwanza nchini ambako raia wote waliweza kushiriki.
 
Mwaka 1993 alipokea [[Tuzo la Nobel la Amani]] pamoja na Nelson Mandela.
 
Kuanzia 1994 hadi 1996 De Klerk alikuwa makamu wa rais Nelson Mandela.
 
1997 akastaafu na kuachana na shughuli za siasa.
 
Alioa mara mbli akiwa na watoto watatu kutoka ndoa yake ya kwana.
 
[[Jamii:Marais wa Afrika Kusini]]
[[Jamii:Makaburu]]
{{Tuzo Nobel}}