Frederik Willem de Klerk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Frederik Willem de Klerk 1990.jpg|250px|thumb|Frederik Willem de Klerk mnamo 1990]]
'''Frederik Willem de Klerk''' (alizaliwa [[18 Machi]] [[1936]] mjini [[Johannesburg]]) ni mwanasiasa wa nchini [[Afrika Kusini]] aliyekuwa rais wa nchi.
 
Alizaliwa katika familia ya [[Makaburu]] ma lugha yake ya mama ni [[Kiafrikaans]]. Alisoma sheria akawa wakili.

Mwaka 1972 alichaguliwa mbunge kwa chama cha National Party. 1976 aliteuliwa kuwa waziri wa ustawi wa jamii akaendelea kuongoza wizara mbalimbali hadi 1989. Baada ya rais PW Botha kujiuzulikujiuzulu katika uongozi wa chama cha National de Klerk alimfuata kama mwenyekiti wa chama na kuanzia 20 Sepzemba ya mwaka ule pia kama rais wa nchi.
 
Alikuwa [[rais wa Afrika Kusini]] wa mwisho chini ya mfumo wa [[apartheid]] kuanzia 1989 hadi 1994. Alitambua ya kwamba mfumo wa ubaguzi wa rangi ulifikia mwisho wake alianzisha majadiliano na wanasiasa wa [[ANC]] akaamuru kumwachisha [[Nelson Mandela]] kutoka gerezani akaandaa pamoja naye mabadiliko ya mfumo wa kisiasa yaliyoleta uchaguzi huru wa kwanza nchini ambako raia wote waliweza kushiriki.