Frederik Willem de Klerk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|right|100px|Medali ya Tuzo ya Nobeli]]
[[Picha:Frederik Willem de Klerk 1990.jpg|250px|thumb|Frederik Willem de Klerk mnamo 1990]]
'''Frederik Willem de Klerk''' (alizaliwa mjini [[Johannesburg]] [[18 Machi]] [[1936]]) mjinini [[Johannesburgmwanasiasa]]) ni mwanasiasa wa nchini [[Afrika Kusini]] aliyekuwa [[rais]] wa nchi.
 
==Maisha==
Alizaliwa katika [[familia]] ya [[Makaburu]] mana [[lugha yake ya mama]] yake ni [[Kiafrikaans]]. Alisoma sheria akawa wakili.
 
Alisoma [[sheria]] akawa [[wakili]].
Mwaka 1972 alichaguliwa mbunge kwa chama cha National Party. 1976 aliteuliwa kuwa waziri wa ustawi wa jamii akaendelea kuongoza wizara mbalimbali hadi 1989. Baada ya rais PW Botha kujiuzulu katika uongozi wa chama cha National de Klerk alimfuata kama mwenyekiti wa chama na kuanzia 20 Sepzemba ya mwaka ule pia kama rais wa nchi.
 
[[Mwaka]] [[1972]] alichaguliwa [[mbunge]] kwa [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[National Party]]. Mwaka [[1976]] aliteuliwa kuwa [[waziri]] wa [[ustawi wa jamii]] akaendelea kuongoza [[wizara]] mbalimbali hadi mwaka [[1989]].
Alikuwa [[rais wa Afrika Kusini]] wa mwisho chini ya mfumo wa [[apartheid]] kuanzia 1989 hadi 1994. Alitambua ya kwamba mfumo wa ubaguzi wa rangi ulifikia mwisho wake alianzisha majadiliano na wanasiasa wa [[ANC]] akaamuru kumwachisha [[Nelson Mandela]] kutoka gerezani akaandaa pamoja naye mabadiliko ya mfumo wa kisiasa yaliyoleta uchaguzi huru wa kwanza nchini ambako raia wote waliweza kushiriki.
 
Mwaka 1972 alichaguliwa mbunge kwa chama cha National Party. 1976 aliteuliwa kuwa waziri wa ustawi wa jamii akaendelea kuongoza wizara mbalimbali hadi 1989. Baada ya rais [[PW Botha]] kujiuzulu katika [[uongozi]] wa chama cha National de Klerk alimfuata kama [[mwenyekiti]] wa chama na kuanzia [[20 Sepzemba]] ya mwaka ule pia kama rais wa nchi.
Mwaka 1993 alipokea [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] pamoja na Nelson Mandela.
 
Alikuwa [[rais wa Afrika Kusini]] wa mwisho chini ya mfumo wa [[apartheid]] kuanzia 1989 hadi [[1994]]. Alitambua ya kwamba mfumo wa [[ubaguzi wa rangi]] ulifikiaumefikia mwisho wake alianzishaakaanzisha majadiliano na wanasiasa wa [[ANC]] akaamuru kumwachisha [[Nelson Mandela]] kutoka [[gereza|gerezani]] akaandaa pamoja naye mabadiliko ya mfumo wa kisiasa yaliyoleta [[uchaguzi huru]] wa kwanza nchini ambakoambapo [[raia]] wote waliweza kushiriki.
Kuanzia 1994 hadi 1996 De Klerk alikuwa makamu wa rais Nelson Mandela.
 
Mwaka [[1993]] alipokea [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] pamoja na Nelson Mandela.
1997 akastaafu na kuachana na shughuli za siasa.
 
Kuanzia [[1994]] hadi [[1996]] De Klerk alikuwa [[makamu wa rais]] Nelson Mandela.
Alioa mara mbli akiwa na watoto watatu kutoka ndoa yake ya kwana.
 
Mwaka [[1997]] akastaafu na kuachana na shughuli za [[siasa]].
 
Alioa mara mbli akiwaakawa na [[watoto]] watatu kutoka [[ndoa]] yake ya kwanakwanza.
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1936|}}
[[Jamii:Marais wa Afrika Kusini]]
[[Jamii:Makaburu]]