Wandengereko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
No edit summary
Mstari 1:
'''Wandengereko''' ni [[kabila]] la [[watu]] wa [[Tanzania]] wanaoishi [[kusini]] kwa [[Dar es Salaam]] katika [[Mkoa wa Pwani]]: [[Wilaya ya Rufiji]], [[Wilaya ya Mkuranga]], [[Wilaya ya Kibiti]] na [[Wilaya ya Mafia]]. Katika wilaya za Kibiti na Rufiji [[asilimia]] kubwa kabisa ni Wandengereko. Pia wako [[wilaya ya Temeke]] [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]] maeneo ya [[Tandika]] mpaka [[Mbagala]].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kindengereko]].
 
Wandengereko wapo karibu 700,000. Ni [[ndugu]] wa [[damu]] na [[Wamatumbi]]: tofauti yao ni kwamba kabila moja linaishi [[Bonde|bondeni]] na lingine [[Milima|milimani]]; ndio Mmatumbi, maana ya Itumbi ni [[mlima]] ambao walikuwa wanaitwa na wenzao wa bondeni ambao ni Wandengereko.
 
Tena Wandengereko wapo wa bondeni ambao wanaitwa Warufiji maana wamepitiwa na [[mto Rufiji]] na Wamagongo yaani walio juu .
wandengereko wanapatikana kwenye wilaya nne mkuranga,mafia,kibiti na rufiji .
wilaya ya kibiti na rufiji asilimia 99% ni wandengereko na wilaya ya temeke dar maeneo ya tandika mpaka mbagala
koo za kindengereko ni momboka,mkumba,mzuzuri, machela,mkele, mketo,mpeta,mbonde,nk
{{DEFAULTSORT:Ndengereko}}
 
[[Ukoo|Koo]] za Kindengereko ni Momboka, Mkumba, Mzuzuri, Machela, Mkele, Mketo, Mpeta, Mbonde n.k.
{{DEFAULTSORT:Ndengereko}}
{{makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Rufiji]]