Tofauti kati ya marekesbisho "Nchi za Maziwa Makuu"

270 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
[[Picha:GreatLakesAfrica.jpg|thumb|279px|right|Maziwa Makuu kutoka anga[[Anga|angani]].]]
 
'''Nchi za Maziwa Makuu''' ni nchi zinazopakana na [[Ziwa|maziwa]] makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] ambazo ni [[Tanzania]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Kenya]] na [[Uganda]].
 
Kati ya maziwa makubwa yaliyoko katika eneo hili nikuna
*[[Ziwa Nyanza]] (Viktoria)
*[[Ziwa Tanganyika]]
*[[Ziwa Nyasa]] (ziwa Malawi)
*[[Ziwa AlbertMwitanzige]] (Afrika)|Ziwa Albert]]
*[[Ziwa EdwardRutanzige]] (Edward)
*[[Ziwa Kivu]]
*[[Ziwa Turkana]]
 
Eneo hili ni muhimu kimataifa kutokana na [[bioanwai]] kubwa: [[asilimia]] 10 ya [[spishi]] za [[samaki]] wote [[duniani]] zinapatikana katika maziwa yake.
 
Maziwa ya Viktoria, Tanganyika na Nyasa hushika [[robo]] [[moja]] ya [[maji matamu]] (yasiyo [[maji ya chumvi]]) yaliyopo duniani kote.
 
==Marejeo==
*Jean-Pierre Chrétien. ''The Great Lakes of Africa: Two Thousand Years of History'' trans Scott Straus
 
==Viungo vya nje==
{{Commons category|African Great Lakes}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{coord|8|00|S|35|00|E|type:waterbody|display=title}}
 
[[Jamii:Afrika]]