Tofauti kati ya marekesbisho "Lukemia"

85 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Seli za mtu mwenye lukemia|thumb|[[Seli za mtu mwenye lukemia]] '''Lukemia''' ni kansa ya seli nyeupe za damu n...')
 
 
[[Picha:Acute leukemia-ALL.jpg|alt=Seli za mtu mwenye lukemia|thumb|[[Seli]] za mtu mwenye lukemia]]
'''Lukemia''' ni [[kansa]] ya [[seli]] [[Seli nyeupe za damu|nyeupe]] za [[damu]] na [[uboho wa mfupa]]. Kama [[mtu]] akiwa na lukemia, [[mwili]] huunda seli nyingi nyeupe za damu (kwa [[Kiingereza]] ''leukocytes'') .
 
Kuna aina nyingi za lukemia. Lukemia ni mojawapo ya [[magonjwa]] makubwa ya [[damu]] (kwa [[Kiingereza]] ''hematological neoplasms''). Lukemia inaweza kusababisha [[kifo]] ndani ya [[wiki]], [[miezi]], au miaka kama isipotibiwa. [[Maisha]] ya mtu hutegemeana na aina ya lukemia.
 
Mwaka wa [[2000]], watoto na watu wazima 256,000 [[Dunia|duniani]] kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani asilimia 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.
 
Mwaka wa [[2000]], [[watoto]] na [[watu wazima]] 256,000 [[Dunia|duniani]] kote walipata aina fulani ya lukemia, na 209,000 walikufa kutokana na hiyo aina, wengine waliendelea kuishi. Takribani [[asilimia]] 90 ya lukemia zote huonekana kwa watu wazima.
 
{{mbegu-tiba}}
 
[[Jamii:Saratani]]
[[Jamii:Damu]]