Nile ya buluu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
new photo
No edit summary
Mstari 18:
 
[[Picha:Nile ya buluu.png|thumb|290px|Ramani ya Nile ya buluu]]
'''Nile ya buluu''' ni [[tawimto]] mkubwakubwa wala [[mto Nile]]. Inaanza katika [[Ziwa Tana]] kwenye [[nyanda za juu]] za [[Ethiopia]] na kutelemka hadi [[Sudan]]. [[Mdomo]] wake uko [[Sudan]] [[Mji|mjini]] [[Khartum]] inapounganika na [[Nile nyeupe]] na kuunda [[mto]] wa Nile wenyewe.
 
Kwa jumla Nile ya bluu inabeba [[maji]] mengi kushinda Nile nyeupe.
 
Ndani ya Ethiopia mto huitwa kwa jina ''Abbai'' (''mto mkubwa'', pia '''Abay''' au '''Abai''') nikwa kuwa ndio [[mto]] mkubwa kabisa wa [[Ethiopia]].
 
Baada ya kutoka Ethiopia na kuingia [[Sudan]] inaitwa kwa [[Kiarabu]]: النيل الأزرق; '''an-nīl al-azraq'''.
 
Ina [[Chanzo (mto)|chanzo]] chake kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 1800 juu ya [[UB]] inapotoka katika [[Ziwa Tana]] katika nyanda za juu za Ethiopia. Kwanza inaelekea [[kusini]]-[[mashariki]] lakini inabadilikainabadili mwelekeo kwenda [[magharibi]] halafu [[kaskazini]].
 
Waethiopia wengi wanasemekana kuitazamakuutazama kama mto mtakatifu.
 
==Tazama pia==
Mstari 38:
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mediteranea]]