Kairo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
[[Picha:Large Cairo Landsat.jpg|thumb|260px|'''Kairo''' jinsi inavyoonekana kutoka angani - '''njano''' ni rangi ya [[jangwa]], '''kijani-nyeusi''' ni rangi ya mashamba kwenye bonde la [[Nile]] linalopanuka kuwa [[delta]] na rangi ya '''kijivu''' ni nyumba za Kairo]]
 
'''Kairo''' (kwa [[KarKiarabu]] القاهرة ''al-Qāhira'' – „mwenye ushindi“) ni [[mji mkuu]] wa [[Misri]] na [[mji]] mkubwa wa nchi zote za kiarabuKiarabu, pia moja kati ya [[Jiji|majiji]] makubwa [[duniani]].
 
Kairo yenyewe inakadiriwa kuwa na wakazi 10,230,350 mjini penyewe<ref>Walikuwa 7,902,085 mwaka 2011 wakati wa sensa, taz. [http://www.citypopulation.de/php/egypt-admin.php?adm1id=01 Al-Qāhirah (Governorate) 2011]</ref>, kanda ya jiji pamoja na mitaa ya nje na mapembizo ni 15,628,325<ref>[http://www.citypopulation.de/php/egypt-greatercairo.php Wakazi wa Kairo Kubwa] walihesabiwa katika sensa ya 2011 kuwa 15,628,325.</ref>.
 
Kairo yenyewe inakadiriwa kuwa na wakazi 10,230,350 mjini penyewe<ref>Walikuwa 7,902,085 mwaka 2011 wakati wa sensa, taz. [http://www.citypopulation.de/php/egypt-admin.php?adm1id=01 Al-Qāhirah (Governorate) 2011]</ref>, kanda ya jiji pamoja na mitaa ya nje na mapembizo ni 15,628,325 <ref>[http://www.citypopulation.de/php/egypt-greatercairo.php Wakazi wa Kairo Kubwa] walihesabiwa katika sensa ya 2011 kuwa 15,628,325.</ref>.
 
==Jiografia==
[[File:View from Cairo Tower 31march2007.jpg|thumb|right|Sehemu ya kusini ya kisiwa cha GezirakilichopoGezira kilichopo ndani ya mto Nile, Opera ya Kairo (jengo jeupe) na nyuma kitovu cha mji pamoja na meidani ya Tahrir ng'ambo ya mto.]]
[[File:Cairo Nile River.jpg|thumb|right|Mto [[Nile]] unapita mjini Kairo.]]
[[File:Zamalek Arial.jpg|thumb|right|Kisiwa cha Gezira katikati ya Jijijiji.]]
 
Kairo iko kwenye sehemu ya [[kaskazini]] ya [[Misri]], takriban [[kilomita]] 160 [[kusini]] mwakwa [[pwani]] laya [[bahari]] ya [[Mediteranea]]. Mji ulikua kando laya [[mto Nile]]. Hapa ni, mahali ambako mto Nile unatoka katika [[bonde]] unamovuka [[jangwa]] na kujigawa kuwa na [[delta]] pana hadi bahari ya [[Mediteranea]]baharini.
 
Jinsi ilivyo kwenye majiji mengi makubwa, wenyeji hutofautisha kati ya mji asilia mwenyewewenyewe na jiji kubwa kwa jumla. Mji wa Kairo mwenyewewenyewe una eneo la 453[[km2]] km³453 tu, uko upande wa [[mashariki]] wa mto pamoja na [[visiwa]] viwili ndani ya mto; jiji pamoja na vitongoji limepanuka pande zote mbili kuelekea ndani ya jangwa.<ref>{{cite web|url=http://www.cairo.gov.eg/C17/C8/Cairo%20Maps/default.aspx |publisher=Cairo Governorate |accessdate=10 September 2009 |title=Cairo Maps |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/20090419130737/http://www.cairo.gov.eg:80/C17/C8/Cairo%20Maps/default.aspx |archivedate=19 April 2009 }}</ref><ref name="citypop">{{cite web|url=http://www.citypopulation.de/Egypt.html |publisher=City Population |last=Brinkhoff |first=Thomas |accessdate=12 September 2009 |title=Egypt: Governorates & Cities}}</ref>
 
Katika [[karne ya 19]] mto Nile ulibanwa kwana [[handaki]] na [[mifereji]]. Hadi wakati ule mifuriko na mabadiliko kwenye mwendo wake walitokea mara kwa mara. [[Historia]] hii ya mabadilko ya mwendo wa mto ni sababu ya kwamba mitaa mipya ya mji iko karibu na mto mwenyewewenyewe mahali ambako zamani wangeogopa kujenga, ni mitaa ya [[Garden City (Kairo)|Garden City]], [[Kairo mjini]] na [[Zamalek]].<ref name="riverbank">
{{cite web
| url = http://geography.about.com/od/egyptmaps/a/cairo-geography.htm
Line 48 ⟶ 47:
}}</ref>
 
Kusini mwa Kairo mjini waya leo kuna [[Kairo ya Kale]] penye mabaki ya miji iliyotangulia hapa kama vile [[Babyloni ya Misri]] (enzi ya [[Bizanti]], kabla ya [[uvamizi]] wa [[Waarabu]] [[Waislamu]]) na [[Fustat]] (mji mkuu wa kwanza wa Kiislamu nchini Misri).
 
Sehemu za [[Bulaq]] ziko leo upande wa kazkazinikaskazini ya mji mwenyewewenyewe zilianzishwa kama eneo la [[bandari]] ya mtoni mnamo [[karne ya 16]]. [[Boma]] la Kairo ([[ar.]] ''qale salah ad din'') inaonyesha mahali ambako mji wa Kairo yenyewe ulianzishwa na [[Wafatimi]]. Upande wa magharibi wa mji wa Kairo uliathiriwa na mpangilio wa jiji wa kimagharibi ukiwa na [[barabara]] pana, uwanjanyanja mbalimbali na nyumb[[nyumba]] za kisasa. Upande wa mashariki una zaidi mitaa midogomidogo, nyumba za kienyeji na kujaa watu wengi mno.
 
===Tabianchi ya Kairo===
Kairo iko katika kanda yenye [[tabianchi]] ya [[nusutropiki]]. Tabianchi kwa jumla ni [[yabisi]]. Hata hivyo wakati mwingine [[hewa]] yenye [[unyevu]] inaweza kufika kwa sababu bahari iko karibu. [[Halijoto]] ya [[wastani]] mwakani ni [[sentigredi]] 21.7. Kiwango cha [[mvua]] ni [[milimita]] 24,7 pekee. [[Mwezi mwenye(wakati)|Mwezi]] wenye [[joto]] zaidi ni [[Julai]] mwenye wastani wa sentigredi 28, na mwezi baridi ni [[Januari]] yenye wastani wa sentigredi 13,9.
 
[[Usimbishaji]] ni mdogo; wastani yawa mwaka ni milimita 24,7 pekee unaotiririka katika miezi wa Bovemba[[Novemba]] hadi [[Machi]] pekee.
 
Wakati wa Disemba [[2013]] Kairo iliona [[theluji]] mara ya kwanza baada ya miaka mingi sana<ref>Samenow, Jason (13 December 2013). "[http://www.washingtonpost.com/blogs/capital-weather-gang/wp/2013/12/13/rare-snow-in-cairo-jerusalem-paralyzed-in-historic-snow/ Biblical snowstorm: Rare flakes in Cairo, Jerusalem paralyzed by over a foot]". The Washington Post.</ref>.
 
==Kanda laya Jiji==
[[Kanda ya Jiji]] inajumlisha Kairo pamoja na miji jirani, vitongoji na mapembizo. [[Idadi]] ya wakazi kwa jumla iko kati ya [[milioni]] 15 hadi 16. Kiutawala kanda ya jiji inajumlisha [[mkoa wa Kairo]] na sehemu ya [[mikoa]] miwili yaani [[mkoa wa Giza|Giza]] na [[mkoa wa Qalyubia|Qalyubia]].
 
Miji ya pekee muhimu zaidi katika kanda hii ni
 
* Kairo
Line 74 ⟶ 73:
* [[Mji wa Basus]]
 
Kuna mipango ya kujenga jiji jipya upande wa mashariki yawa Kairo litakalokuwa mji mkuu mpya wa Misri.<ref>"[http://www.bbc.com/news/business-31874886 Egypt unveils plans to build new capital east of Cairo]". BBC News. 13 March 2015. Retrieved 14 March 2015.</ref>
 
 
===Usafiri===
[[File:محطة روض الفرج-القاهرة.jpg|thumb|left|[[Metro ya Kairo]]]]
[[File:Nasr road.jpg|thumb|Barabara Kuu mjini]]
[[File:Cairo Transport Authority.JPG|thumb|left|Mabasi ya manisipaamanispaa]]
[[File:Ramses-Station.jpg|thumb|left|Kituo cha Metro Ramses]]
[[Usafiri]] ndani ya Kairo na [[kanda ya jiji]] huenda kwa kutumia barabara, [[njia za reli]], [[reli ya chini ya ardhi]] inyoitwainayoitwa "metro" na [[feri]] kwenye mto. Kuna [[magari]] mengi ya binafsi, [[teksi]] na [[Basi|mabasi]] ambayo ni ya [[umma]] au ya binafsi. Njia nyingi za mabasi na reli ya metro zinakutana kwenye Midan Ramses <ref name=TravelCairo>{{Cite book|title=Travel Cairo|year=2007|publisher=MobileReference|isbn=978-1-60501-055-7|url=https://books.google.com.tw/books?id=50O9dQlwreYC&pg=PT44&lpg=PT44&dq=cairo,+specifically+ramses+square,+is+the+centre+of+almost+the+entire+egyptian+transportation+network&source=bl&ots=xVe8a_96AL&sig=m80pe2fMggr7VUi5LuONGLJXPqw&hl=zh-TW&sa=X&ei=9c4LUPmLPILmmAXCwryfCg&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false}}</ref>
 
Usafiri ndani ya Kairo ni mashuhuri kwa ugumu wake kutokana na uwingiwingi wa watu na magari.<ref>{{cite web|url=http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |title=Al-Ahram Weekly &#124; Features &#124; Reaching an impasse |publisher=Weekly.ahram.org.eg |date=1 February 2006 |accessdate=5 May 2009 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090518104145/http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |archivedate=18 May 2009 }}</ref>
Usafiri ndani ya Kairo na [[kanda ya jiji]] huenda kwa kutumia barabara, [[njia za reli]], [[reli ya chini ya ardhi]] inyoitwa "metro" na feri kwenye mto. Kuna magari mengi ya binafsi, [[teksi]] na mabasi ambayo ni ya umma au ya binafsi. Njia nyingi za mabasi na reli ya metro zinakutana kwenye Midan Ramses <ref name=TravelCairo>{{Cite book|title=Travel Cairo|year=2007|publisher=MobileReference|isbn=978-1-60501-055-7|url=https://books.google.com.tw/books?id=50O9dQlwreYC&pg=PT44&lpg=PT44&dq=cairo,+specifically+ramses+square,+is+the+centre+of+almost+the+entire+egyptian+transportation+network&source=bl&ots=xVe8a_96AL&sig=m80pe2fMggr7VUi5LuONGLJXPqw&hl=zh-TW&sa=X&ei=9c4LUPmLPILmmAXCwryfCg&redir_esc=y#v=onepage&q&f=false}}</ref>
Usafiri ndani ya Kairo ni mashuhuri kwa ugumu wake kutokana na uwingi wa watu na magari.<ref>{{cite web|url=http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |title=Al-Ahram Weekly &#124; Features &#124; Reaching an impasse |publisher=Weekly.ahram.org.eg |date=1 February 2006 |accessdate=5 May 2009 |deadurl=yes |archiveurl=https://web.archive.org/web/20090518104145/http://weekly.ahram.org.eg/2006/779/feature.htm |archivedate=18 May 2009 }}</ref>
 
 
[[Picha:CAIRO METRO.jpg|300px|thumb|Ramani ya Metro ya Kairo]]
[[Metro ya Kairo]] ("مترو") ni jina la reli ya chini ya [[ardhi]]. Ni usafiri wa haraka pale njia zake zinapofika. [[behewa|Mabehewa]] yake yanaweza kujaa mno wakati wa masaa[[saa]] yaza kwenda [[Kazi|kazini]] na kurudi. Kila treni ya metro huwa na magari wawili yaliyotengwa kwa ajili ya [[wanawake]] pekee, ni gari la nne na la tano, lakini hata hivyo wakinamama wako huru kupanda kila behewa wanapotaka. Metro hii ina njia tatu zenye [[urefu]] wa kilomita 77.9 na kuna vituo 61 zinazohudumiwa<ref>[http://cairometro.gov.eg/UIPages/History.aspx Tovuti rasmi]</ref>.
 
Kuna [[tramu]] katika sehemu za ([[Heliopolis (Kairo)|Heliopolis]] na [[mji wa Nasr]]) lakini ile katika Kairo mjini ilifungwa miaka mingi iliyopita.
 
Kuna mtandao mkubwa wa barabara kati ya Kairo mjii, sehemu nyngine za kanda ya jiji na miji ya nje. Kuna barabara ya [[duara]] inayopita nje ya jiji. [[Daraja|Madaraja]] mengi yanalenga kurahisisha mwendo ndani ya jiji ingawa kwenye masaasaa yaza msongamano watu hukaa sana kwenye foleni za magari.
 
==Dini==
Zamani Kairo ilikuwa mji penyewenye wakazi wengi wa [[tamaduni]] na [[dini]] mbalimbali na; hadi leo [[Maabadi|nyumba zao za ibada]] ni kama kumbukubu ya [[historia]] hiihiyo. Maelfu ya [[Wagiriki wa Misri]] waliondoka nchini baada ya [[mapinduzi]] ya mwaka [[1952]]. [[Wayahudi]] pia walianza kuona [[ubaguzi]] mkali na madhulumu tangu [[Mapambano_kati_ya_Israeli_na_Palestina#Kuundwa_kwa_Dola_la_Israeli|vita ya Israeli na Waarabu wa 1948]] wakaondoka. Leo hii kuna Wayahudi chini ya Wayahudi 100 waliobaki Misri baada ya historia ya miaka 2,500.
 
Siku hizi wakazi walio wengi ni [[Waislamu]] [[Wasunni]] (takriban 90[[%]]). Wengine ni hasa [[Wakristo]] [[Wakopti]].
 
Upande wa Uislamu kuna [[misikiti]] mingi na idadi yaoyake inaendelea kuongezeka. [[Chuo Kikuu cha Al-Azhar]] kinapatikana mjini tangu mwaka [[969]]: ni [[taasisi]] ambayo [[utalaamu]] wake unaheshimiwa na kuangaliwa kati wa Wasunni wengi duniani.
 
Upande wa Wakopti [[kiongozi]] wao [[Papa Pope Tawadros II]] anakaa Kairo. [[Kanisa la Mtakatifu Marko mjini Kairo]] ni [[kanisa]] kubwa la pili kwenye [[bara]] la [[Afrika]].
 
[[Sinagogi|Masingagogi]] zaya Kiyahudi zinawezayanaweza kutembelewa na [[watalii]] lakini hakuna tena [[ibada]] ya kawaida kutokana na idadi ndogo ya Wayahudi waliobaki.
 
Vurugu za kisiasa za miaka iliyopita ilileta pia magongano kati ya wafuasi wa dini, hasa kati ya Waislamu wakaliwenye [[itikadi kali]] na Wakristo. <ref>{{cite web|url=http://www.lepoint.fr/monde/egypte-24-coptes-tues-par-les-forces-de-l-ordre-au-caire-10-10-2011-1382636_24.php |title=Égypte : 24 coptes tués par les forces de l'ordre au Caire – Le Point |publisher=Lepoint.fr |accessdate=12 March 2013}}</ref>
 
== Tazama pia ==
* [[Piramidi za Giza]] ziko karibu na Kairo.
* [[Orodha ya miji ya Misri]]
 
Line 115 ⟶ 111:
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons|Cairo}}
* [http://www.cairo.gov.eg/ Tovuti rasmi]
* [http://www.cairo.yatb.info/ Cairo]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
{{Commons|Cairo}}
<!--Interwiki-->
 
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]