Ukanda wa Van Allen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
taipo
Mstari 15:
Sayari nyingine kama [[Mshtarii]] (Jupiter) na [[Zohali]] (Saturn) huwa pia na ukanda wa mnururisho wa kufanana.
 
Ilhali uga sumaku ni dhaifu zaidi karibu na ncha za Dunia iko hapa ya kwamba vyembe vyenye chaji vinaweza kuingia katika angahewa na kusababisha hapa [[mialemiali ya aurora]].
 
Kiwango cha mnururisho ndani ya ukanda wa Van Allen ni hatari kwa watu na pia mitambo hivyo satelaiti nyingi na pia vituo vya angani kama MIR na [[Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS]] vinazunguka dunia kwa obiti zinazobaki chini ya ukanda huu.