Marie Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Salomea
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Marie Curie, portrait, 1900.jpg|thumb|170x170px|Marie Curie mwaka [[1900]].]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
'''Maria Curie''' ([[jina]] kamili: '''Maria Salomea Skłodowska-Curie'''; alizaliwa tar [[7 Novemba]] alikufa tar [[1867]] – [[4 Julai]] [[1934]]) alikuwa [[mwanafizikia]] na [[mwanakemia]] Mpoland[[Mpolandi]] na [[Mfaransa]] aliyepata [[Tuzo ya Nobel ya Fizikia]] [[mwaka]] [[1903]] na [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka [[1911]]. Marie Curie ni [[binadamu]] pekee aliyepokea [[tuzo ya Nobel]] kwa [[sayansi]] [[mbili]] tofauti.
 
==Maisha==
Alizaliwa [[Poland]] kama Maria Skłodowska wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya [[Urusi]]. Wakati ule hapakuwa na nafasi kwa [[wanawake]] kusoma kwenye [[chuo kikuu]] nchini, hivyo akahamia [[Ufaransa]] mwaka [[1891]] akajiandikisha katika somo la [[fizikia]] akaendelea baadaye kuchukua [[digrii]] ya [[hisabati]].
 
Mwaka [[1895]] [[Ndoa|akaolewa]] na [[mwanasayansi]] Mfaransa [[Pierre Curie]]. Pamoja naye alifanya [[utafiti]] zawa [[unururifu]] akatambua [[elementi]] za [[poloni]] na [[radi (elementi)|radi]].
 
Marie Curie ni [[binadamu]] pekee aliyepokea [[tuzo ya Nobel]] kwa [[sayansi]] mbili tofauti. Baadaye alikuwa [[profesa]] wa kike wa kwanza katika chuo kikuu cha [[Sorbonne]] mjini [[Paris]].
 
Alikufa kutokana na [[kansa]] ya [[damu]] (au [[leukemialukemia]]) kwa sababu [[Maisha|maishani]] mwake alishika [[dutu]] nururifu nyingi maishani mwake bila ya tahadhari wakati hatari za unururifu hazijajulikana.
 
== Viungo vya Njenje ==
{{commons|Marie Curie}}
* [http://www.nobelprize.org/physics/laureates/1903 1903 Nobel Prize in Physics] and [http://www.nobelprize.org/chemistry/laureates/1911 1911 Nobel Prize in Chemistry] – Tovuti ya kamati ya Tuzo ya Nobel kwa Kiingereza