Joseph Mbilinyi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Joseph Osmund Mbilinyi''' (amezaliwa [[1 Mei]] [[1972]]) ni rapa, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasiasa kutoka nchini [[Tanzania]]. Anajulikanaanajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama '''Mr. II''' na '''Sugu''' au '''2-proud'''.; Huyuamezaliwa [[1 Mei]] [[1972]]) ni [[rapa]], [[mwanaharakati]] wa [[haki za binadamu]] na [[mwanasiasa]] kutoka nchini [[Tanzania]].

Ni miongoni mwa [[waanzilishi]] wa mwanzoawali kabisa wa [[hip hop ya Tanzania]]., Kwanzakwanza akiwa na [[Da Young Mob]], ambao alishirikiana nao katika kinyang'anyiro cha [[Yo Rap Bonanza]] iliyokuwa inaandaliwa na akina Kim the Boyz na Ibony Moalim katika miaka ya 1990, kabla ya kwenda kuwa rapa wa kujitegemea na kutoa [[albamu]] ya kwanza iliyokwenda kwa jina la [[Ni Mimi]] mnamo mwaka wa 1995.

Vivile Sugu ni [[mwanasiasa]] wa [[Chama cha kisiasa]] cha [[Chama cha Demokrasia na Maendeleo]] ([[CHADEMA]]). Amechaguliwa kuwa [[Wabunge wa Tanzania 2015|mbunge]] wa [[ Mbeya Mjini]] kwa miaka [[2015]] – [[2020]].<ref>[http://www.parliament.go.tz/administrations/239 Tovuti ya Bunge la Tanzania], iliangaliwa Mei 2017</ref><ref>[http://www.univie.ac.at/ecco/stichproben/Nr5_Englert.pdf Microsoft Word – Stichproben_Nr5_FERTIG.doc<!-- Bot generated title -->]</ref>
<ref name="stylusmagazine.com">[http://www.stylusmagazine.com/articles/pop_playground/bongoflava-the-primer.htm Bongoflava: The Primer – Pop Playground – Stylus Magazine<!-- Bot generated title -->]</ref>

Mwishoni mwa mwezi Agosti, 2017, Sugu alifungua [[hoteli huko]] jijini Mbeya na kuipa jina la "Desderia Hotel".<ref>[http://www.richardmwambe.com/sugu-afungua-hoteli-ya-kifahari/ SUGU AFUNGUA HOTELI YA KIFAHARI] ingizo la tarehe 1 Septemba, 2017 - wavuti ya Richard Mwambe</ref>
 
==Diskografia==
Mr. II ndiyo [[msanii]] pekee wa [[hip hop ya Tanzania]] ambaye katoa albamu nyingi:
 
* [[Ni Mimi]] (1995)
Line 19 ⟶ 25:
==Marejeo==
<references/>
 
{{Mbegu-wanasiasa-Tanzania}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1972]]