Tofauti kati ya marekesbisho "Umoja wa Afrika"

no edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
[[Picha:Flag African Union 02.svg|thumb|200px|Bendera ya Umoja wa Afrika]]
[[Picha:Map of the African Union.svg|200px400px|thumbnail|right|Ramani ya Umoja wa Afrika. Nchi zote za Afrika ni wanachama (baada ya [[Moroko]] kujiunga upya tarehe [[30 Januari]] [[2017]]).]]
'''Umoja wa Afrika (UA)''' (kwa [[Kiingereza]]: '''African Union (AU)'''; [[Kifaransa]]: '''Union Africaine (UA)'''; [[Kihispania]]: '''Unión Africana (UA) '''; [[Kireno]]: '''União Africana (UA) ''') <ref> [http://au.int/en/sites/default/files/PROTOCOL_AMENDMENTS_CONSTITUTIVE_ACT_OF_THE_AFRICAN_UNION.pdf Official Languages AU "Art. 11 AU" Protocol on amendments to the constitutive act of the African Union] </ref> ni muungano wa nchi 55 za [[Afrika]] ulioanzishwa mnamo Julai [[2002]].