Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Idai
No edit summary
Mstari 1:
<center>''KwaKuhusu lugha ya Kimbunga tazama [[Kimbunga (lugha)]]''</center>
[[Picha:Hurricane Katrina August 28 2005 NASA.jpg|thumb|right|300px|Kimbunga ya "Katrina" juu ya Ghuba ya Meksiko - picha kutoka [[chombo cha angani]] tar. 28 Agosti 2005]]
[[Picha:Animated hurricane.gif|thumb|right|250px|Picha ya [[rada]] ya kimbunga upande wa kaskazini ya [[ikweta]] inaonyesha mwendo wake]]
[[Picha:Idai 2019-03-15 0750Z.jpg|300px|thumb|Kimbunga Idai mnamo 15-03-2019, wakati wa kufika kwenye mwambao wa Msumbiji (ziwa inayoonekana katikati juu ni Ziwa NYassa)]]
'''Kimbunga''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''tropical cyclone, hurricane, typhoon'') ni [[dhoruba]] kali inayoanza juu ya [[bahari]] katika maeneo ya [[tropiki]] yenye [[upepo]] mwenyewenye [[kasi]] ya zaidi ya [[km/saa]] 117. Kimbunga ni dhoruba aina ya [[tufani]] yaani kina mwendo wa kuzunguka.
 
==Tabia za vimbunga==
Vimbunga huwa na eneo la shinikizo duni kwenye [[kitovu]] chake ''(low-pressure center)''. Upepo mkali unazunguka haraka kitovu hiki karibu na uso wa bahari au uso wa nchi ''(closed low-level atmospheric circulation, strong winds)''. [[Mvua]] za [[radi]] zinazunguka kitovu pamoja na mwendo wa kimbunga chote na kuleta mvua nzito ''(spiral arrangement of thunderstorms that produce heavy rain)''<ref>[https://www.weather.gov/media/owlie/ciclones_tropicales11.pdf Ciclones Tropicales (pdf)], kijitabu cha Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019 </ref>.
 
Huanza juu ya [[bahari]] ya [[tropiki|kitropiki]] penyekwenye [[maji]] yenye [[halijoto]] juu ya 26 [[°C]]. [[Hewa]] [[joto]] yenye [[mvuke]] nyingi inaanza kupanda juu na kuzunguka. Mzunguko huo unaongezeka kasi kuwa dhoruba. Kasi ikifikia mwendo wa 117 km/saa inaitwa kimbunga.
 
Vimbunga vinatokea katika [[bahari]] zote penyezenye [[maji]] ya [[moto]] [[kaskazini]] na [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Mzunguko hufuata mwendo wa [[saa]] kama kimbunga kinatokea kusini kwa [[ikweta]]; ni kinyume cha mwendo wa saa kama kinatokea kaskazini kwa ikweta.
 
== Hatari za Kimbungakimbunga ==
Kimbunga inawezakinaweza kusababisha hasara kubwa ikigusakikigusa [[meli]] baharini na zaidi [[Mwambao|mwambaoni]] inapofikia nchi kavu au [[visiwa]]. [[Nguvu]] ya upepo husukuma maji mengi ya bahari inayoweza kufika [[mita]] kadhaa [[Uwiano wa bahari|juu ya uwiano wa kawaida]] wakati wa kufika mwambaoni. [[Wimbi]] kubwa inaletalinaleta [[mafuriko]] wa ghafla inayowezayanayoweza kuvunja [[nyumba]] na kupeleka maji ya bahari [[mita]] mamia[[mia]] kadhaa [[Bara|barani]]; penye [[mdomo]] wa [[mto]] wimbi la bahari linaendelea kuenea kwa kufuata njia ya mto.
 
Hatari zinazofuata ni hasa kasi ya [[upepo]] pamoja na kiasi kikubwa cha [[mvua]]. Kasi ya upepo inaweza kuinua vitu vizito kama [[miti]], paa[[mapaa]] zaya nyumba au [[magari]] na kuvirusha mbali. [[Watu]] huuawa na [[mali]] kuharibiwa. UwingiWingi wa mvua husababisha mifurikomafuriko inayofuatayanayofuata njia ya kimbunga juu ya nchi kavu, wakati mwingine kwa [[kilomita]] mia mamiakadhaa kutoka mwambao<ref>[https://www.weather.gov/safety/hurricane Hurricane Safety Tips and Resources], tovuti ya Idara ya Meteorolojia ya Kitaifa, Marekani, iliangaliwa Machi 2019</ref>.
 
PaleHuko [[Amerika]] ni hasa [[visiwa vya Karibi]] na nchi jirani za [[Ghuba ya Meksiko]] pamoja na kusini yamwa [[Marekani]] zinazoathiriwa kila [[mwaka]].
 
Barani [[Afrika]] ndiyo [[Msumbiji]] pamoja na nchi jirani iliyoona mara kwa mara uharibifu kutokana na dhoruba. Mwaka [[2019]] kimbunga kilichoitwa Idai<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47578953 Kimbunga Idai: Msumbiji katika hatari kimbunga kingine kikali kikitua], tovuti ya BBC-Kiswahili tar 15-ß3-2ß19</ref> kiliharibu [[Beira (Msumbiji)|mji mkubwa wa Beira]] na kusababisha [[Kifo|vifo]] hadi [[Zimbabwe]] na [[Malawi]]<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47621240 Kimbunga Idai: Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe], tovuti ya BBC Kiswahili, 19-03-2019</ref>.
 
== Majina ya Vimbunga ==
 
Kila sehemu ya [[dunia]] kimbunga kina [[jina]] lake na majina haya yameanza kutumiwa kimataifa:
* Katika eneo la [[Atlantiki]] ([[Karibi]] hasa) kimbunga huitwa hurikan ([[kiinging.]] [[:en:hurricane|Hurricane]])
* katika eno la [[Pasifiki]] kaskazini kimbunga huitwa taifuni ([[:en:typhoon]])
* katika eneo la [[Bahari Hindi]] na Pasifiki kusini jina la saikloni ([[:en:cyclone]]) limetumiwa mara nyingi
 
Vimbunga hutokea mara kwa mara katika kipindi[[majira chaya joto]]. [[Wataalamu]] wameanza kuvipa majina kwa kurahisisha maelewano. Katika eneo la kila bahari kuna utaratibu wa pekee wa kutolea majina kwa vimbunga kufuatana na mapatano ya [[wanasayansi]].
 
[[Atlantiki]] inaona takriban vimbunga [[kumi]] au zaidi kila mwaka. Hupewa majina kufuatana na [[alfabeti]]. Imekuwa kawaida tangu mwaka [[1979]] kutumia majina ya kiume na ya kike kwa kubadilishanakupokezana (zamani vilipewa majina ya kike tu, lakini wanawake walilalamika).
 
Wataalamu wanatumia orodha [[sita]] ya majina hivyo jina linaweza kurudia baada ya miaka sita.
 
Kimbunga ya "[[Katrina (kimbunga)|Katrina]]" kilichoharibu [[mji]] wa [[New Orleans]] katika [[Agosti]] [[2005]] kilikuwa kimbunga cha 11 cha mwaka [[2005]]. Kilifuata kimbunga "Jose" na kufuatwa na "Lee" halafu "Maria". Kama kimbunga inasababishakinasababisha uharibifu mkubwa sana jina lake huondolewa katika orodha maana yake jina hili halitarudia. "Katrina" imebadilishwa kuwa "Katia" katika orodha ya mwaka itakayotumika mwaka 2011 (ikitokea itakuwa kimbunga kinachofuata "Jose" ya 2011).
 
==Marejeo==