Trigonometria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Trigonometria''' (kutoka [[gir.Kigiriki]] ''trigonon'' = pembetatu na ''metron'' = kipimo, upimaji) ni sehemu ya [[jiometria]], hivyo ni [[tawi]] la [[hisabati]].
 
Inatazama habari za [[pembetatu]] na uhusiano kati ya pande na [[pembe (jiometria)|pembe]]. Uhusiano kati ya [[urefu]] wa pande na ukubwa wa pembe hufuata [[kanuni]] fulani na kwa kujua kanuni hizihizo inawezekana kukadiria [[umbali]] wa [[kitu]] au ukubwa kwala eneo kwa kujua habari chache tu.
 
[[Elimu]] hiihiyo ilitokea wakati wa [[utamaduni]] wa [[Ugiriki ya Kale]] wakati [[wataalamu]] walifanya [[utafiti]] wa [[nyota]] na kukadiria umbali wa nyota na [[dunia]]. Walitambua kanuni za trigonometria kwa mfano wa [[pembetatu mraba]]. Ilhali kila pembetatu inaweza kugawiwa kwa pembetatu mraba [[mbili]], elimu hiihiyo inatosha kujibu maswali mengi.
 
Kwa kawaida trigonometria inatazama [[Umbo|maumbo]] bapa lakini kuna pia trigonometria ya [[tufe]], yaani kuangalia pembetatu zilizopo usoni wa [[tufe]] au [[mpira]].
==Misingi==
[[Picha:Pembetatu jiometri.jpg|thumbnail|300px|Pembetatu na pande / pembe zake katika trigonometria.]]
Trigonometria inafuata hasa kanuni za [[pembetatu mraba]], yaani pembetatu ambako [[pembe (jiometria)|pembe]] moja ina [[nyuzi]] 90°.
 
Jumla ya pembe 3 za pembetatu daima ni nyuzi 180°. Kwa hiyo kama pembe [[moja]] ni [[pembemraba]] (=90°) zile mbili nyingine ni [[pembe kali]] ambazo kwa jumla zina pia nyuzi 90 maana ni vikamilisho pembemraba.
 
Kwa hiyo kama pembe moja ya pembetatu ina nyuzi 90° na moja nyingine kati ya pembe tatu inajulikana basi hata ukubwa wa pembe ya tatu si [[siri]] tena.
 
Mara viwango vya pembe vinajulikanavinapojulikana tunaweza pia kujua uhusiano wa urefu baina ya pande. Kwa hiyo kama urefu wa upande mmoja unajulikana inawezekana kutaja urefu wa pande nyingine pia.
 
Majina yafuatayo hutumiwa katika trigonometria kwenye [[pembetatu mraba]]:
* Pembetatu mraba huwa na pande a, b, c. [[Kona]] zaitwa A, B, C. Pembe ni <big>α, β, γ</big> ambayo hutajwa kwa [[herufi]] taza Kigiriki [[alfa]], [[beta]] na [[gamma]]. Katika mfano huu <big>γ</big> ni pembemraba.
*[[Hipotenusi]] ''(ing. hypotenuse)'' ni upande kinyume cha pememrabapembemraba, hii ni pia upendeupande mrefu. Katika mfano kwenye picha nuni upande c.
*Majina ya pande nyingine yanategemea na pembe husika. Katika mfano wa picha pembe husika imeteuliwa kuwa <big>α</big> kwa hiyo "[[mkabala (jiometria)|mkabala]] wa alfa" ''(ing. opposite)'' ni upande kinyume cha <big>α</big>. "[[Tangamani]] ya alfa" ''(ing. adjacent'') ni upande unaoanza kwenye kona A ya <big>α</big> lakini si hipotenusi. Vivyo hivyo mkabala wa <big>β</big> ni upande "b" na tangamani ya <big>β</big> ni upande "a".
 
 
== Fomula husisho za trigonometria ==
Kuna [[fomula]] [[husisho]]<ref>"Husisho" ni pendekezo la [[KAST]] kwa ing. "function"</ref> ''(ing. functions)'' tatu kwa pembetatu mraba katika trigonometria. Pamoja na husisho kinyume (ing. "reciprocals") kuna [[sita]] kwa jumla.
 
'''Sini''' ''(ing. sine, sinus, [[kifupi]] '''sin''')'' - Sini ya pembe ni sawa na <math>{Mkabala \over Hipotenusi}</math><br />
 
'''Kosini''' ''(ing. cosine, cosinus, kifupi '''cos''')'' - Kosine ya pembe ni sawa na <math>{Tangamani \over Hipotenusi}</math><br />
 
'''Tanjenti''' ''(ing. tangent, kifupi '''tan''')'' - Tanjenti ya pembe ni sawa na <math>{Mkabala \over Tangamani}</math><br />
 
Husisho kinyume za husihsohusisho hizi ni:
 
'''Kosekanti''' (ing. cosecant, kifupi '''csc''') - Kosekanti ya pembe ni sawa na <math>{Hipotenusi \over Mkabala}</math>
Line 43 ⟶ 42:
<references/>
 
== Viungo vya nje ==
 
== Other websites ==
{{Sister project links|Trigonometry}}
*[http://www.khanacademy.org/video/basic-trigonometry?playlist=Trigonometry Basic Trigonometry] course in [[Khan Academy]]
Line 52 ⟶ 50:
*[http://www.mecmath.net/trig/trigbook.pdf Trigonometry, by Michael Corral, Covers elementary trigonometry, Distributed under GNU Free Documentation License]
 
{{mbegu-hisabati}}
 
[[Category:Jiometria]]