Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tengua pitio 1058654 lililoandikwa na Somalisweetcrudeoil (Majadiliano)
Tag: Undo
Mstari 250:
 
[[Vita vya wenyewe kwa wenyewe]] nchini Marekani vilipigwa kuanzia [[1861]] hadi [[1865]] kati ya majimbo ya kusini na majimbo ya kaskazini nchini Marekani. Sababu mojawapo muhimu ya vita ilikuwa [[suala]] la [[utumwa]]. Majimbo ya kaskazini yaliwahi kupiga utumwa [[marufuku]] lakini majimbo ya kusini yaliendelea na [[sheria]] zilizoruhusu utumwa na matajiri wengi wa kusini walitegemea kazi ya watumwa. Vita vilikuwa virefu na watu 650.000 walikufa, lakini mwishoni kaskazini ilishinda.
[[File:New100front.jpg|right|thumb|500px|100 Dollars]]
 
== Watu ==
Nchi ina wakazi zaidi ya milioni 320, na ina mchanganyiko mkubwa kuliko nyingine zote duniani.