Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 225:
 
Mnamo Mei 1953, walinzi wa nyumbani walitambulika rasmi kama [[askari wa usalama]]. Askari hao wa nyumbani ndio waliounda kikosi cha kupambana na mikakati ya Mau Mau kwani walikuwa Waafrika waaminifu, na si majeshi ya kigeni kama Jeshi la Uingereza na King's African Rifles. Kufikia mwisho wa hali ya hatari, askari hao walikuwa wamewaua Mau Mau 4886, ambao ni asilimia 42% ya waasi wote. Kukamatwa kwa [[Dedan Kimathi]] huko [[Nyeri]] tarehe [[21 Oktoba]] [[1956]] kuliashiria kushindwa kwa Mau Mau kukamaliza vita.
 
==Gdp==
'''84.000''' Billioni {{Increase}}
=== Baada ya uhuru ===
[[Picha:25332612.nairoboi013.JPG|thumb|260px|[[Sanamu]] ya Jomo Kenyatta mjini Nairobi.]]
Line 489 ⟶ 488:
 
Kandarasi hii iliwezesha kampuni inayoongozwa na taifa la Uchina “offshore oil and gas company” CNOOC Ltd kutafuta mafuta Kenya, ambayo ilianza kuchimba visima vya kwanza mpakani mwa Sudan na Somalia na katika maji ya upwa wake.<ref>{{Cite news|url=http://www.ft.com/cms/s/0/a51a39d2-280c-11db-b25c-0000779e2340.html|title=China's scramble for Africa finds a welcome in Kenya |last=Barber |first=Lionel |coauthors=Andrew England|date=10 Agosti 2006|publisher=Financial Times|accessdate=2008-06-27}}</ref>
 
==Gdp=GDP===
'''Bilioni 84.000''' Billioni {{Increase}}
 
==Tazama pia==