Jamhuri ya Kijamaa ya Kisovyeti ya Kikazakhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Svg version (GlobalReplace v0.6.5)
Mstari 47:
 
== Historia ==
Jina la nchi limetokana na [[Wakazakhi]] ambao ni taifa la watu wenye [[lugha ya Kiturki]].
Eneo liliwahi kuwa sehemu ya milki mbalimbali lakini tangu karne ya 15 Wakazakhi walijaribu kuungana mata kadhaa bila mafanikio ya kudumu. Tangu karne ya 17 milki ya Urusi ilianza kuenea katika Asia ya Kati na hadi 1865 eneo lote la Kazakhstan lilitawaliwa na Urusi.