Jamhuri ya Kijamaa ya Kisovyeti ya Kikazakhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 42:
|}
 
'''Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kikazakhi''' (; [[Kirusi]]: Казахская Советская Социалистическая Республика) ilikuwa kati ya [[jamhuri]] wanachama 15 za [[Umoja wa Kisovyeti]] hadi [[mwaka]] [[1991]]. [[Jina]] lake liliandikwa kwa [[alfabeti]] ya [[Kikirili]] katika [[lugha]] ya [[Kikazakhi]]: "Қазақ Советтік Социалистік Республикасы" (Kasak Sovyettik Sotsialistik Respublikasi) au kwa '''[[Kirusi]]: "Казахская Советская Социалистическая Республика" (Kazakhskaya Sovyetskaya Sotsialisticheskaya Respublika).
 
Yenye eneo la [[km²]] 2,717,300 km² ilikuwa jamhuri kubwa ya pili ndani ya Umoja wa Kisovyeti baada ya [[Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi|Urusi]]. [[Mji mkuu]] ulikuwa Alma-Ata inayoitwa leo [[Almaty]].

Tangu Desemba 1991 imekuwa nchi huriahuru ya [[Kazakhstan]] katika [[Asia ya Kati]].
 
== Historia ==
Jina la nchi limetokana na [[Wakazakhi]] ambao ni taifa la watu wenyewanaotumia [[lughaKikazakhi]], mojawapo ya [[lugha za Kiturki]].
 
Eneo liliwahi kuwa sehemu ya [[milki]] mbalimbali lakini tangu [[karne ya 15]] Wakazakhi walijaribu kuungana mata kadhaa bila mafanikio ya kudumu. Tangu karne ya 17 milki ya Urusi ilianza kuenea katika Asia ya Kati na hadi 1865 eneo lote la Kazakhstan lilitawaliwa na Urusi.
 
Tangu [[karne ya 17]] milki ya Urusi ilianza kuenea katika [[Asia ya Kati]] na hadi mwaka [[1865]] eneo lote la Kazakhstan lilitawaliwa na Urusi.
 
Baada ya [[mapinduzi ya Urusi ya 1917]] [[Wakomunisti]] walichukua nafasi ya Ma[[tsar]] wa awali wakafanya nchi kuwa jamhuri yenye kiwango cha kujitawala ndani ya Jamhuri ya Kirusi ya Umoja wa Kisovyeti.
 
Mwaka [[1936]] nchi ilipewa [[cheo]] cha jamhuri kamili ndani ya Umoja wa Kisovyeti. Katika miaka iliyofuata [[Warusi]] na watu wa [[Taifa|mataifa]] mengine ya Umoja huo walihamishwa nchini hadi Wakazakhi kubaki kuwa chini ya [[nusu]] ya wakazi wote.
 
Miaka 1990/1991 wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti jamhuri ilijiondoa polepole. Kiongozi wa chama cha kikomunisti cha Kazakhstan [[Nursultan Nasarbajew]] alitangaza uhuru na kuwa rais wa kwanza akiendelea kutawala jinsi awali.
 
== Uchumi ==
Wakomunisti walifanya jitihadijitihada kubwa kuchimba [[madini]] na kuanzisha [[viwanda]] pamoja na kupanushakupanua [[kilimo]]. Miradi mikubwa ya kumwagilia ardhi yabisi yaliwezesha mavuno makubwa lakini yalisababisha pia kukauka kwa [[ziwa Aral]].
 
Umoja wa Kisovyeti ilijenga uwanja wa [[roketi]] wa [[Baikonur]] uliokuwa kituo kikuu cha kurusha [[vyombo vya angani]].
 
[[Jamii:Umoja wa Kisovyeti]]