Tofauti kati ya marekesbisho "Japani"

no edit summary
<sup>2</sup> Mapokeo ya Kijaponi hudai taifa lilianzishwa siku hiyo na Tenno [[Jimmu]] anayesemekana alikuwa Kaisari wa kwanza wa nchi.
}}
[[Picha:Japan sea map.png|thumb|leftright|250px450px|Ramani ya Japani]]
'''Japani''' ni [[nchi ya visiwa]] katika [[Pasifiki]], mkabala wa [[mwambao]] wa [[mashariki]] ya [[Asia]]. Wajapani wenyewe hutumia [[jina]] la "Nihon" au "Nippon" lenye maana ya "Mwanzo wa jua". Hivyo Japani huitwa pia "Nchi ya Macheo".