Tofauti kati ya marekesbisho "Marekani"

Eneo hilo lagawiwa katikati na [[mto]] mkubwa [[Mississippi (mto)|Mississippi]] unaoanza mpakani kwa Kanada na kuishia katika [[Ghuba ya Meksiko]].
==GDP==
 
'''Billioni 20.10 trillion dollars {{increase}}'''
 
 
'''Billioni 20.10 trillionTrillioni dollars {{increase}}'''
 
 
=== Alaska ===
 
 
Jimbo la [[Alaska]] liko pia kwenye bara la Amerika Kaskazini upande wa kaskazini kutoka Kanada kuelekea [[Urusi]], lakini halipakani na jimbo lolote la Marekani.
 
=== Hawaii ===
 
 
[[Funguvisiwa]] ya [[Hawaii]] ni jimbo la visiwani katika bahari ya Pasifiki. Ni jimbo la 50 na la mwisho mpaka sasa.
 
=== Visiwa vya ng'ambo vya Marekani ===
 
 
[[Maeneo ya ng'ambo ya Marekani]] ni visiwa kadhaa ambavyo ni maeneo ya Kimarekani ingawa si sehemu ya jimbo lolote. Zamani yalikuwa kama ma[[koloni]] hata kama Marekani ilidai kutokuwa na [[ukoloni]]. Siku hizi maeneo haya yamepata viwango mbalimbali vya kujitawala. Kwa kawaida maeneo haya huchagua pia wawakilishi kwa ajili ya [[bunge]] la Marekani lakini wawakilishi hao si wabunge wa kawaida, bali wana haki ya kusema na kushauri tu bila [[haki ya kupiga kura]].