Nile : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35:
[[Picha:Nile composite NASA.jpg|left|thumb|160px|Picha ya Nile kutoka chombo cha angani - (Shukrani kwa [[NASA]]) ]]
 
'''Mto wa Nile''' (pia: '''Naili'''; kwa [[Kiarabu]]: '''‏ ,'''النيل‎''' an-nīl''') ni [[mto]] mkubwa upande wa [[mashariki]] ya [[bara]] la [[Afrika]]. Mara nyingi hutajwa kuwa pia ni [[mto]] mrefu kabisa [[dunia]]ni kushinda [[mto Amazonas]]. Kutoka [[Ziwa la Viktoria Nyanza]] hadi [[mdomo]] wake kwenye [[Bahari ya Mediteranea]] Nile inavuka nchi za [[Uganda]], [[Sudan Kusini]], [[Sudan]] na [[Misri]] kwa urefu wa [[km]] 6,650.
 
[[Beseni]] yala Nile hukusanya [[maji]] ya eneo linalojumlisha 10[[%]] za eneo la Afrika yote au [[km²]] 3,349,000. Takriban [[watu]] [[milioni]] 250 hukalia beseni hiyohilo.
 
== Jina ==
"Nile" au "Naili" ni [[umbo]] la [[Kiingereza]] la [[jina]] la mto kutokanalililotokana na jinalile lililotumiwa na [[Wagiriki wa Kale]]: "Neilos" (Νεῖλος). Haijulikani Wagiriki walipata jina hilo kwa njia gani, lakini lilikuwa kawaida nje ya [[Misri]].

[[Wamisri wa Kale]] waliita mto huu kwa jina ''Ḥ'pī'' au ''iteruIteru'' linalomaanisha "mto mkubwa". [[Wakopti]] walikuwa na jina la ''piaro'' lakini tangu [[utawala]] wa [[Dola la Roma|Kiroma]] jina la Kigiriki lilizidi kutumika, na [[Waarabu]] waliendelea na jina la [[Kigiriki]] pia, hivyo leo hii wananchi wanasema "an-nil".
 
== Chanzo cha Nile ==
Nile ina [[Chanzo (mto)|vyanzo]] viwili, yaani
Nile ina vyanzo viwili ndivyo Nile yenyewe (inaitwa pia Nile nyeupe) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]]. Majina haya ya "nyeupe" na "buluu" yana asili yao katika [[mji]] wa [[Khartoum]] ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila mmoja una [[rangi]] tofauti kutokana na [[udongo]] tofauti uliotia rangi yake kwenye maji hayo.
* Nile yenyewe (inaitwa pia [[Nile nyeupe]]) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na
* [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]].
 
Nile ina vyanzo viwili ndivyo Nile yenyewe (inaitwa pia Nile nyeupe) inayotoka katika [[Ziwa Viktoria Nyanza]] na [[Nile ya buluu]] inayotoka katika [[Ziwa Tana]]. Majina hayahayo ya "nyeupe" na "buluu" yana [[asili]] yaoyake katika [[mji]] wa [[Khartoum]] ambako mito yote miwili inaunganika ilhali kila mmoja una [[rangi]] tofauti kutokana na [[udongo]] tofauti uliotia rangi yake kwenye [[maji]] hayo.
 
[[Chemchemi]]Vyanzo zavya Nile ni mito yote inayopeleka maji kwenda Ziwa Viktoria Nyanza katika nchi za [[Tanzania]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Uganda]] na [[Kenya]]. [[Chanzo]] cha mbali kabisa ni mto wa [[Luvironza]] huko Burundi unaoingia katika mto wa [[Kagera (mto)|mto Kagera]] na kufika [[Ziwa Viktoria Nyanza]].
 
Mkono mwingine wa Nile unaanza [[Ethiopia]] ukiitwa [[Abbai]] au [[Nile ya Buluu]]: unatoka katika [[Ziwa Tana]].
 
Hakuna mapatano kabisa Nile inaanzia wapi. Kawaida ya [[waandishi]] [[Waingereza]] ni kuhesabu kuanzia Ziwa Viktoria; waandishi wa ma[[taifa]] mengine huwa wanaweza kuitawakaita tayari mto wa Kagera kwa jina "Nile ya Kagera".
 
== Majina ya Nile ==
Majina ya sehemu ya mto kuanzia Ziwa Viktoria hadi Khartoum ni kama yafuatayo:
 
* [[Nile ya Viktoria]] kuanzia [[Jinja]] inapotoka katika Ziwa Viktoria kwa km 500 hadi [[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]]
 
* [[Nile ya Albert]] kuanzia Ziwa Albert hadi mpaka wa Sudan Kusini
 
* ndani ya Sudan Kusini mto huitwa [[Bahr al-Jabal]] (mto wa mlimani) hadi kupokea [[tawimto]] wala [[Bahr al-Ghazal]]
 
* kwa sababu ya rangi wakati wa [[mvua]] yake kutokana na udongo katika maji jina linakuwa [[Bahr al-Abyad]] kuanzia Bahr al-Ghazal hadi Khartoum
 
* kuanzia Khartoum jina ni pekee ni Bahr an-Nil (mto wa Nile) hadi [[mdomo]] wake wa [[delta]] kwenye [[Mediteranea]].
 
==Matumizi wa maji ya Nile==
Tangu [[milenia]] kadhaa maji ya Nile yamekuwa msingi wa [[maisha]] yote nchini [[Misri]] na pia kwa sehemu kubwa ya nchi ya [[Sudan]]i.
 
Katika [[miaka ya 1920]] [[Uingereza]] kama [[mtawala]] [[mkoloni]] wa Sudan na Misri ulikuwa na [[majadiliano]] juu ya [[ugawaji]] wa maji ya mto na kufikia [[mapatano juu ya matumizi ya maji ya mto Nile ya 1929]].
 
Hadi leo Misri inadai ya kwamba mapatanao yale yanakataa [[ujenzi]] wa [[malambo]] na kuanzishwa kwa miradi ya [[umwagiliaji]] inayotumia maji ya Nile bila [[kibali]] cha [[serikali]] yake. Hapa Misri inadai ya kwamba nchi zote zilizokuwa ma[[koloni]] ya Uingereza wakati ule zinafungwa na [[mapatano]] ya [[mwaka]] [[1929]] na hizi ni pamoja na Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, halafu pia Ethiopia iliyopatana na Uingereza wakati ule. Nchi nyingine hazikubali madai hayo, naila majadiliano juu ya mapatano mapya ya [[ushirikiano]] katika beseni yala Nile yanaendelea.
 
==Tazama pia==
Line 75 ⟶ 81:
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
[[Jamii:Nile| ]]
 
[[Jamii:Mito ya Afrika]]
[[Jamii:Mito ya Uganda]]
[[Jamii:Mito ya Sudan]]
[[Jamii:Mito ya Misri]]
[[Jamii:Nile| ]]