Johannes Hevelius : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
, pol. {{lang|pl|Jan Heweliusz}}
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Johannes Hevelius.PNG|200px|thumb|Johannes Hevelius jinsi alivyochorwa na Daniel Schulz wa Danzig]]
[[Picha:Hevelius-Quadrant.jpg|200px|thumb|Kifaa cha robo-duara (''quadrant'') kilichoboreshwa na Hevelius kwa upimaji wa nyota]]
'''Johannes Hevelius''', (kwa [[Kijerumani]] pia: '''Hevel'''; kwa [[Kipoland|pol.Kipolandi]] {{lang|pl|Jan Heweliusz}}; ([[1611]] – [[1687]]) alikuwa [[mwanaastronomia]] na [[mfanyabiashara]] [[Mjerumani]]<ref>Hevelius anatajwa mara nyingi kuwa Mpoland; alitoka katika familia wa raia Wajerumani wa mji wa Danzig iliyokuwa sehemu ya kujitawala wa Milki ya Poland-Lithuania. Idadi kubwa wa wakazi walikuwa Wajerumani kiutamaduni katika kipindi kile kabla ya kuanzishwa kwa utaifa wa baadaye. Linganisha tovuti ya Galileo Project</ref> wa [[dola-mji]] Danzig ([[Gdansk]]) katika [[ufalme]] wa [[Poland]].
 
==Maisha==
Mstari 19:
 
Orodha hii pamoja na [[atlasi ya nyota]] (Prodromus Astronomiae) zilitolewa mwaka [[1690]] na mke wake anayetazamwa kuwa mwanastronomia wa kike wa kwanza anayejulikana.
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya nje==
Line 25 ⟶ 28:
*[http://www.ianridpath.com/startales/startales1d.htm The star catalogue and atlas of Johannes Hevelius], tovuti ya Ian Ridpath "Star Tales", iliangaliwa Oktoba 2017
 
==Tanbihi==
<references/>
{{mbegu-mwanasayansi}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1611]]