Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 21:
 
==Jina==
[[Jina]] la ziwa limepokewa na [[Wazungu]] [[wapelelezi]] wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa [[Ujiji]]. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba [[watu]] wa [[Ujiji]] hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina, ila tu ilimaanisha ziwa kubwa<ref>Habari zifuatazo kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya [[samaki]] walioitwa vile. Baadaye Stanley alikumbuka neno "nika" katika [[lugha]] nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotanda" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'. Maelezo tofauti kidogo ni kwamba jina Tanganyika limetokana na samaki wa aina mbili ndani ya ziwa, aina ya kwanza anaitwa Tanga na wa pili anaitwa Nyika, hivyo ziwa hilo kwa wakati huo wa hao samaki kupatikana katika ziwa hilo likaitwa ziwa la Tanga na nyika! Baadaye katika matamshi wenyeji wa eneo hilo wakawa wanaita Tanganyika na baadaye kuzaa nchi inayoitwa Tanganyika na baadhi ya sehemu kuitwa hivyo.</ref> .
 
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa [[Kabila|makabila]] mengine-: watu wa [[Marungu]] walisema "Kimana", wale wa [[Urungu]] "Iemba" na [[Wakawendi]] "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu, yaani "Iemba", inalingana na taarifa ya [[David Livingstone]] aliyekuta jina "Liemba" kuwa jina la sehemu ya [[kusini]] ya ziwa na jina hili linaendelea kutumiwa kwa [[meli]] ya [[MV Liemba]] inayosafirisha watu na [[bidhaa]] ziwani tangu mwaka [[1914]].
 
Jina la ziwa limekuwa pia jina la [[Eneo la kudhaminiwa|eneo lililokabidhiwa]] kwa [[Uingereza]] kama [[Tanganyika]] baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] tangu [[1919]].<ref>Mwaka 1919 sehemu kubwa ya [[koloni]] la [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ilikabidhiwa rasmi mikononi mwa Uingereza kama [[eneo la kudhaminiwa]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha [[mkataba wa Versailles]].
Mstari 30:
 
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari [[1920]] wakaamua kuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la ziwa kubwa upande wa [[mashariki]] wa eneo. <sup>[[Tanganyika#cite note-1|[1]]]</sup>
</ref>
 
== Jiografia ==