Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Replacing Sales_contract_Shuruppak_Louvre_AO3760.jpg with File:Sales_contract_Shuruppak_Louvre_AO3766.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed:).
 
Mstari 1:
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760AO3766.jpg|thumb|300px|[[Hati]] ya [[Kisumeri]] inayoonyesha [[mapatano]] ya kuuza [[nyumba]] na [[shamba]]. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]].]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya [[tamaduni]] za juu za kwanza katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa [[utamaduni]] wa kwanza wa kujenga [[miji]].