Tetemeko la ardhi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Removed redirect to Wikipedia:Tetemeko la ardhi Tag: Removed redirect |
|||
Mstari 7:
[[Bahari|Baharini]] tetemeko laweza kusababisha [[tsunami]], yaani [[wimbi]] kubwa lenye hatari pale linapofika [[pwani]].
Tetemeko la ardhi lenyewe kwa kawaida haliui au kujeruhi watu bali matokeo yake ndiyo. Katika [[Mazingira|mazingira]] ya kienyeji hata zilizala kali inaweza kupita bila hasara kubwa; [[nyumba]] za kienyeji zilijengwa kwa kutumia vifaa asilia vyepesi. Mfano wa kisasa ni [[tetemeko la ardhi la Kagera 2016]]
===Kuharibika kwa majengo===
|