Colin Morgan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt=Colin Morgan|thumb|Colin Morgan '''Colin Morgan''' (aliyezaliwa Januari 1, 1986) ni mwigizaji kutoka Irela...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 14:12, 24 Machi 2019

Colin Morgan (aliyezaliwa Januari 1, 1986) ni mwigizaji kutoka Ireland ya Kaskazini, anayejulikana sana kwa kucheza kama muhusika mkuu katika mfulululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.

Colin Morgan
Colin Morgan

Maisha ya awali na elimu

Morgan alizaliwa huko Armagh, Ireland ya Kaskazini, mwana wa Bernard, mchoraji na mtunzi, na Bernadette, muuguzi. Yeye ni mdogo wa ndugu wawili; wote walikuwa wakisali katika kanisa katoliki.


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Colin Morgan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.