Nchi kavu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
historia ya nchi kavu
No edit summary
Mstari 17:
Kuwepo kwa nchi kavu ni muhimu kwa [[tabianchi]] na [[halihewa]] hasa katika maeneo ya ufukoni. Halijoto ya nchi kavu hubadilika haraka zaidi kulingana na mnururisho wa jua kuliko uso wa magimba ya maji. Kwahiyo halijoto ya nchi kavu hupanda haraka zaidi wakati wa mchana na kupoa haraka zaidi kuliko uso wa maji wakati wa usiku.
 
Hivyo kuna tofauti ya halijoto baina nchi kavu na bahari na hii inasababisha kutokea kwa [[upepo]]. Hewa joto zaidi inapanda juu na hewa baridi zaidi inachukua mahali pake.[https://www.queryfloor.com]
 
==Marejeo==
<references responsive="" />
[[jamii:jiografia]]
[[jamii:metorolojia]]