Talaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kuchangia mada
No edit summary
Mstari 8:
[[Vatikani]] ni nchi pekee ambayo hairuhusu talaka, mbali ya [[Ufilipino]] ambayo inairuhusu kwa [[Waislamu]] tu.
 
[[Desturi]] na [[sheria]] kuhusu hatua hiyo na matokeo yake maishani zinatofautiana sana [[Dunia|duniani]]. Mara nyingi unadaiwa uamuzi wa mamlaka fulani, lakini sehemu nyingine unatosha ule wa mume au wa mke tu au wa wote wawili pamoja. [[Nchi zilizo endeleazilizoendelea]] kama vile [[Marekani]]<ref>{{Cite journal|last=Marcassa|first=Stefania|date=2013-8|title=Divorce Laws and Divorce Rate in the U.S.|url=https://hal.archives-ouvertes.fr/hal-00865640|journal=BE Journal of Macroeconomics|volume=13|issue=1|pages=10.1515/bejm–2012–0149}}</ref> zina sheria za kudhibiti talaka na mawakili na [[wanasheria]] wanao wakilisha wanaowanaowakilisha takawanaotaka talaka.
 
Kwa kawaida uvunjifu wa ndoa una madhara makubwa kwa wote wawili, hasa yule mwenye hali nyonge zaidi (kwa kawaida [[mwanamke]]), lakini kwa namna ya pekee kwa [[watoto]] wao ambao wanaweza wakaathirika hasa [[saikolojia|kisaikolojia]].<ref>{{cite web|url = http://www.nlm.nih.gov/medlineplus/divorce.html | title = Divorce | accessdate = 2013-11-01 | author = National Library of Medicine | authorlink = United States National Library of Medicine | date = 5 July 2013 | work = MedlinePlus}}</ref>
Mstari 39:
* [http://www.aacap.org/cs/root/facts_for_families/children_and_divorce Children and Divorce]. (2010)
 
{{mbegu-sheria}}
 
[[Category:Jinsia]]