Oksijeni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
Ni kati ya elementi zilizopo kwa wingi [[ulimwengu]]ni ikishika nafasi ya tatu baada ya [[hidrojeni]] na [[heli]]. Kwenye [[dunia]] yetu asilimia 28 za [[masi]] yake ni oksijeni; ni elementi iliyopo kwa wingi kabisa katika [[ganda la dunia]].
 
Hutokea ama kama mchanganyiko wa elementi nyingine au pekee yake kama [[gesi]] isiyo na rangi wala herufi. Pekee yake hupatikana hasa kama [[molekuli]] ya O<sub>2</sub> yaani mchanganyiko wa kikemia wa [[atomi]] mbili. Kuna pia oksijeni kamaambayo mchanganyikoni wamolekuli ya atomi tatu unaoitwa [[ozoni]] (O<sub>3</sub>).
 
Umuhimu wake duniani ni hasa kuwepo katika [[maji]] na katika [[hewa]] ya [[angahewa]] na kwa ujumla kwa ajili ya uhai. Karibu viumbe vyote duniani hutegemea oksijeni. Wanaipata ama kwa kupumua hewani au kwa kuichukua kwenye maji. Oksijeni tupu ni sumu kwa ajili ya viumbe vingi.