Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 101 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7347 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Great Lakes 1.PNG|thumb|right|350px|Maziwa makubwa kati ya Marekani na Kanada.]]
'''Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini''' ni jumla ya [[Ziwa|maziwa]] matano yanayotawanyikayanayopatikana mfululizo kwenye mpaka kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]]. Ziwa moja la Michigan pekee limo ndani ya Marekani tu.
 
Kwa pamoja maziwa hayahayo ni gimba kubwa la [[maji matamu]] [[duniani]]. Eneo laolake linatosha kwa kuonekana kwa [[maji kujaa na kupwa]].
'''Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini''' ni jumla ya maziwa matano yanayotawanyika mfululizo kwenye mpaka kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]]. Ziwa moja la Michigan pekee limo ndani ya Marekani.
 
Kwa pamoja maziwa haya ni gimba kubwa la maji matamu duniani. Eneo lao linatosha kwa kuonekana kwa [[maji kujaa na kupwa]].
 
Maziwa haya ni:
Line 11 ⟶ 10:
* [[Ziwa Erie]]
* [[Ziwa Ontario]]
[[Picha:Great Lakes from space.jpg|thumb|right|Maziwa makubwa jinsi yanavyoonekana kutoka [[Anga|angani]].]]
 
[[Maji]] hupita kuanzia Ziwa Superior na Ziwa Michigan kwenda Ziwa Huron; halafu kupitia [[mto Detroit]] kwenda Ziwa Erie; haafuhalafu kupitia [[maporomoko ya Niagara]] kwenda Ziwa Ontario; kutoka hapa maji hutokahuko katikayanafuata [[Mto Saint Lawrence]] unaokwisha kwenye [[Bahari ya Atlantiki]].
 
Kuna [[visiwa]] zaidi ya 35,000 ndani ya maziwa hayahayo. [[Kisiwa cha Manitoulin]] katika ziwa Huron upande wa Kanada ni [[kisiwa]] cha ziwani kikubwa kuliko vyote duniani chenye eneo la [[km²]] 2,766 km² na eneo hili ni kubwa kuliko maeneo ya [[Unguja]] (km² 1,658 km²) na [[Pemba]] (980 km² 980) pamoja.
Maji hupita kuanzia Ziwa Superior na Ziwa Michigan kwenda Ziwa Huron; halafu kupitia [[mto Detroit]] kwenda Ziwa Erie; haafu kupitia [[maporomoko ya Niagara]] kwenda Ziwa Ontario; kutoka hapa maji hutoka katika [[Mto Saint Lawrence]] unaokwisha kwenye [[Bahari ya Atlantiki]].
 
Kuna visiwa zaidi ya 35,000 ndani ya maziwa haya. Kisiwa cha Manitoulin katika ziwa Huron upande wa Kanada ni [[kisiwa]] cha ziwani kikubwa duniani chenye eneo la 2,766 km² na eneo hili ni kubwa kuliko maeneo ya [[Unguja]] (1,658 km²) na [[Pemba]] (980 km²) pamoja.
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Great Lakes|Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini}}
{{mbegu-jio-USA}}
{{commonscat|Great Lakes|Maziwa makubwa ya Amerika Kaskazini}}
 
[[Jamii:Maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskasini| ]]
[[Jamii:Maziwa ya Amerika ya Kaskazini]]