Ozoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ozoni''' (ing. ''ozone'', pia ''trioxygen'') ni molekuli yenye alama ya O<sub>3</sub> inayofanywa na atomi tatu za oksijeni. ==Tabia== Inaoneka...'
 
No edit summary
Mstari 2:
 
==Tabia==
Inaonekana kama gesi ya buluu yenye harufu kali. Inatokea katika matabaka ya juu ya [[angahewa]] pale ambako [[urujuanimno|mnururisho wa uruajimnourujuanimno]] unapasua molekuli za O<sub>2</sub>.
:<math>\mathrm{3 \; O_2 \longrightarrow 2 \; O_3}</math>
 
Mstari 10:
 
==Tabaka la ozoni==
Ozoni hupatikana kwa viwango vidogo vya [[ppm]] 0.6 katika angahewa. Kiasi kikubwa kipo kwenye [[tabakastrato]] baina kilomita 10 hadi 50 juu ya uso wa ardhi. Tabaka hili lenye ozoni linafyonza asilimia kubwa ya [[urujuanimno|mnururisho wa uruajimnourujuanimno]] (asilimia 93-99) ulio hatari kwa viumbehai duniani.
 
==Athari kwa viumbehai==