Tofauti kati ya marekesbisho "Urujuanimno"

29 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
(+elezo fupi)
 
==Mnururisho wa urujuanimno na afya ya watu==
Viwango vikubwa vya mnururisho wa urujuanimno vinaweza kusababisha uharibifu kwa [[seli]] za binadamu. [[Ngozi]] ya binadamu inajenga rangi ya [[melanini]] kama kinga dhidi yake. [[AngaOzoni|Tabaka ya hewaozoni]] katika [[angahewa]] ya duniaDunia inachuja sehemu ya mnururisho huu lakini kwenye maeneo ya [[ikweta]] kiwango kinachopita hadi uso wa dunia ni kubwa zaidi.
 
Hapo ni sababu ya kwamba watu katika maeneo karibu na ikweta wana rangi nyeusinyeusi zaidi. Watu wanaoishi mbali na ikweta hawahitaji kiwango hiki cha kinga dhidi ya mnururisho wa urujuanimno na kwa sababu hiyo watu wenye rangi nyeupe zaidi waliweza kuendelea huko kaskazini. Pale ambako watu kutoka sehemu za kaskazini walihamia katika maeneo ya ikweta wana hatari kubwa zaidi kupata kansa ya ngozi na hii inaonekana katika asilimia kubwa ya kansa hii kati ya wazungu wa [[Australia]].