Angastrato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angahewa tabaka.png|300px|thumb|Tabakastrato katika angahewa]]
'''Tabakastrato''' ([[ing.]] ''stratosphere'') ni tabaka mojawapo ya [[angahewa]] ya [[Dunia]]. Inaanza takriban [[kilomita]] 8 juu ya uso wa ardhi (nchani; kilomita 18 juu ya ikweta) hadi kilomita 50.
 
Katika tabakastrato halijoto inapanda juu pamoja na kimo. Hii inasababishwa na [[ozoni]] iliyopo hapa. Ozoni hufyonza [[urujuanimno|mnururisho wa urujuanimno]] kutoka nuru ya Jua na kuibadilisha kuwa joto.
 
Hii ni tofauti na [[tabakatropo]] iliyopo chini yake. Hapa halijoto inapungua kadri ya kupungua kwa kimo. Pia katika [[tabakameso]] iliyopo juu ya tabakakastrotabakastrato halijoto inapungua kadri ya kufikia juu zaidi.
 
Hakuna upepo wala mawingu katika tabakastrato hivyo [[eropleni]] kubwa hutembea hapa kwa safari zao za mbali ambako vurugu kutokana na upepo wa tabakatropo umeshapungua.
 
[[Category:Metorolojia]]